LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 27,005
- 41,641
Ni mafundisho imaraWatashangaa sana maana ni Wanafiki wakubwa...Hakuna mahali Biblia imekataza pombe
Ni mafundisho imaraWatashangaa sana maana ni Wanafiki wakubwa...Hakuna mahali Biblia imekataza pombe
pombe imeharishwa na wasiojua maandikiko. pombe haijakatazwa isipokuwa kwa sababu maalumu kutoka kwa Mungu, mf. MMama yake na samson, yohana na makuhani walioteuliwa kwa kazi maalumu. Ukusoma zaburi ya 104:14-15 kuna andiko la kujifunza , Yesu mwenyewe kwenye harusi ya kana , Na akiongea na mafarosayo aliwaambia Yohana alikuja kunywa divai mkamwita pepo ila mimi nimekuwa kunywa na kula mkaniita mlevi.. pana tafsiri flani hapa ambapo mtumishi mwenye biblia atatuambia maana niko kwa Gari naelekea Dareda..Walutheri pombe hunyweka kama kawaida hakuna katazo wala fundisho la unywaji pombe.Wasiokunywa pombe ni wapentekoste,akitokea kiongozi wa madhehebu ya kipentekoste anashadidia unywaji pombe jamii ya wakristo wa kipentekoste watashangaa sana juu ya fundisho la kunywa pombe.
Hasa utapeli na wizi wa sadaka za wauminiyaliyo na msingi na tija kwa jamii hawayakazanii ila yasiyo na tija ndio wanapigia kelel kila uchwao kwa kisingizio cha Mungu kasema,
POMBE ni uleviWatashangaa sana maana ni Wanafiki wakubwa...Hakuna mahali Biblia imekataza pombe
Kumbe kilichokataliwa ni KULEWA kwa mvinyo.Waefeso 5
18 Tena msilewe kwa mvinyo, ambamo mna ufisadi; bali mjazwe Roho;
Sio Kweli.POMBE ni ulevi
Suala la madaraka limetoka wapi?Ulitaka ulewe madaraka?
Utakuwa ulikuwa una hang over ya jana yake..😀😀😀😀Mkuu ungejua imani yangu ,ungejishangaa kwanini umesema hivyo,miaka kadhaa nikisali ukonga hapo kanisa fulan nilienda kushiriki meza ya bwana,ile kumaliza kupiga ule mnvinyo nilipepesuka na hata nikasahau nilipokuwa nimekaa,mpka baada ya muda ndo nikagundua
Ndugu kumbuka utasimama peki ako mbele ya hukumu na hutamwambi Mungu niliambiwa pombe si dhambi maana wao wanajua zaidi maadii ya Ukristo kuliko sisi kumbuka adam alivojitetea lakini aliadhibiwa so hata hawa viongozi wanaweza kukuangamiza bila kujua kila mtu anapaswa kujua kwa undani anachoamini kwa kusoma neno la Mungu, binafsi maana kila mtu atajibu yake so tujiongeze.Pombe ni dhambi maana ina kilevi na walev wote moton period.
Ni sawa na zuzu anayesema Gari ni Ajali..POMBE ni ulevi
Namimi nimemuandikia GARI ni AjaliSio Kweli.
Pombe ni Kinywaji
Ulevi ni hali anayopata mtu baada ya kunywa pombe nyingi. Pia ni tabia.
hayo ndiyo mahubiri makubwa siku hizi kila kanisa ukienda; mtolee Mungu Zaka na Sadaka, usipotoa una mwibiaHasa utapeli na wizi wa sadaka za waumini
Labda twende kimaandiko ni wapi imeandikwa kunywa pombe ni dhambi..Pombe ni dhambi maana ina kilevi na walev wote moton period.
Dini za kuuunga unga ndio zilivyo,jana pombe haramu,leo inafaa,kesho kunywa lakini usinywe sana.Kijana wa mudy umesemaje?