dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,754
- 18,780
Hapa ddm ihumwa watot karibia wote Ni waturuki
Na akilogwa akakubali wanamchakaza hasaa, kuna ambao wamefumuliwa mpaka wakakata network...Nilikua Morogoro siku moja pale samaki samaki nilikaa nao hao watu na usemayo ni kweli. Walikua wanamlazimisha dada mmoja wakamle mande.
[emoji23][emoji23][emoji23]Alishushwa jukwaani baada ya wadau kutopenda swaga zake.Samahani mdau, nini kilimkuta!?
Safi sana hiyo. Alidhani jamaa ni washamba wa swagga zake. Walimpa somo hata akienda sehemu nyingine mikoani asiwapelekee mapozi.[emoji23][emoji23][emoji23]Alishushwa jukwaani baada ya wadau kutopenda swaga zake.
Kijana mpuuzi kweli wewe, yaani mimi nimuonee wivu mshamba Mnyamwezi tena asiyejitambua, naona unataka kufilwa kwa l'azima sasa.Makasiriko yako haya kufanyi utukane watu wote wa mkoani Tabora kama unawaonea wivu hao wadada na wewe kafilwe kama wanyamwezi washamba basi kafilwe wewe mjanja
Yes, kwa Tabora?.....wale jamaa aisee ni kama wamelaanika si wanawake si wanaume.Ina maana hapo usipomuoa mwanamke uliyemzalisha, anakutengeneza !?
Ni washamba na wasaliti....nani mwenye akili timamu anataka kuitwa Mnyamwezi?Mnyamwezi ndie aliemuuza Chief Mkwawa kwa Mjerumani hio haijafutika katika historia.. ndio maana ya Unyamwezini yaan kuuzana tu ukisikia karibu Unyamwezini maana yake karibu tukuuze
Wanasomewa albadiri, yaani hata ukiiba sindano wazee wa pale kwa ujinga wao wanakusomea albadiriEmu fafanua hapa wanakuaje vichaa yaan ?
Siyo chuki nimekaa Tabora na kuona huu upuuzi mpaka nikakata tamaa ya kuishi kule na sitorudi tena labda nipite tu.Acha Ujinga mkuu!
Usihukum watu kwa ukabila bwana, chuki tu hizo.
Ni kweli ila nimeishi Tabora na kujionea huu ushenzi live......unapishana na mtu mtaani akiwa na tabasamu kana kwamba anakujuwa kumbe jamaa kaona jalala nyuma yako analichekelea. Yaani Tabora, basi tu.Tanga pia inaongoza kuwa na vichaa wengi. Boss hii umeisahau aisee.
Yes wale si ni waislam, wanatumia sana Qur'an na wanaroga kwa kitabu cha Qur'anKatika Jamii inayojua ushirikina mkali ulaya uturuki nambari one!
Mkuu, ujanja wa wanyamwezi ni usaliti kama walivyo msaliti Mkwawa. Ukisikia msanii anajiita Mnyamwezi basi juwa huyo hajuwi historia ya WanyamweziHizi ni tuuma nzito Kwa wanyamwezi......
Mbona wasanii mbali mbali hutaja neno mnyamwezi....
Kuashiria mtu mzur na mjanja na Alie fanikiwaa sanaaa....😊😊😊🤣🤣🤣😂😂
Hakika mkuu hata wazawa wanatia mihuri sawia , nina kijukuu hapa nakilea baba yake alishatokomea kusikojulikana kinanikipigia kelele tu hapa p.u.m.b.a.a.a..a..a......vu.Hawa wakandarasi hawaachi kuacha watoto wao huko wanakopita kujenga reli, barabara na miradi mingine. Wachina wa mabarabarani waliacha mbegu zao, wazungu wa kujenga njia kubwa za umeme nao walidondosha mbegu zao sehemu walikopita. Ishakuwa kawaida wajenzi wa miradi kuacha mbegu zao wanakojenga miradi. Hii hata kwa wazawa mwendo ni huohuo kupata watoto huko kwenye miradi ya ujenzi wa miradi.
Wanyamwezi ni watu poa sana na niwakarimu sana....Mkuu, ujanja wa wanyamwezi ni usaliti kama walivyo msaliti Mkwawa. Ukisikia msanii anajiita Mnyamwezi basi juwa huyo hajuwi historia ya Wanyamwezi
Duuu....Chuo Cha uwaziri wa nini ? Manyoko uwaziri umeundiwa course Mimi sijui ?
ao Waturuki wanafanya nini? Ujenzi wa SGR?I hope wazima wote humu ndani,
Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.
Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.
Twende kwenye mada...
Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!
NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wachina wanawake wapo na easy go ukimtaka mbongo unamla Ila uwe na staha, kuna mmoja wa kishua nilikua nampigia misele sema wachina hawanaga story nyingi akiongea akiwa anakusisitiza km anakukaripia shushwayayanje shenyenjinge swashweshishu utaelewa tu shisey shishineyuashuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Igunga Kuna wasomali wa kutosha, huko Tabora na viunga vyake(vijijini) nimefanya kazi za kuhudumia jamii for 7yrs. Kuna waarabu karibu kila kijiji, wakitoka wadada jioni jioni hapo vibarazani mwao, utadhani wametokea Saudi Arabia jana yake
Kuna walofanya hivi afu vijana tyuuh, case iligeuka kwao, hawana hamu hata.Wasiwe na wasiwasi "marinda ya sketi" nipo hapa fundi nguo na mpiga pasi mahiri nitayarudisha kama mwanzo.
By the way Tunaweza kuweka mtego kumkamata Mturuki mla marinda. Atafutwe mdada tutengeneze mazingira tule pesa ya Mturuki.