Sio uwaziri. Ni chuo Cha uhaziriKaribu na chuo cha uwaziri
Sio uwaziri. Ni chuo Cha uhaziriKaribu na chuo cha uwaziri
Hao jamaa,watakua wana mundende yao.Na akilogwa akakubali wanamchakaza hasaa, kuna ambao wamefumuliwa mpaka wakakata network...
yapi merkez.. vp ulipita kimya kimya au ulichukua totoz hapo lounge? Toto za kinyamwezi toka igalula [emoji23]I hope wazima wote humu ndani,
Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.
Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.
Twende kwenye mada...
Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!
NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Sasa kama ni hivyo ni kheri kwa sababu wanaepusha kuacha mazalia ya rangi zao, kama umewahi kushuhudia mwanamke kushika mimba kwa njia hiyo weka hapa ushahidi.Hao jamaaa nasikia Wanapenda sana usodoma. Kuna kesi kadhaa nimezisikia kuhusu waturuki kupenda kinyume na maumbile kipindi Cha phase one hasa kwa wakazi wa mlandizi.
Wakazi wa hayo maeneo wawe makini na marinda yao ya sketi wanazovaa.
HahaaaIgunga Kuna wasomali wa kutosha, huko Tabora na viunga vyake(vijijini) nimefanya kazi za kuhudumia jamii for 7yrs. Kuna waarabu karibu kila kijiji, wakitoka wadada jioni jioni hapo vibarazani mwao, utadhani wametokea Saudi Arabia jana yake
Kwahiyo kisamvu cha kopo kinaliwa sana kwa wadada wa huko?Kwa wanawake wa Tabora unauliza marinda?[emoji848] wanawake wa huko wanapenda hio michezo hatari,mm ni shahidi kwa hilo huyo dada sikutegemea kama anapenda hio michezo
Binafsi nilisikitika sana Ile clip jamaa nilisikia anamikiki mbaka shule alafu anatoa nya kipumbavu Kwa 20k???Sasa nani wa kulaumiwa? Hao dada zetu wanaokubali kutolewa marinda au hao watoaji marinda?
Dada zetu tamaa zao za hela wanaishia kuuza utu wao!!! Mfano mwingine ni wa kina Hakika Ruben na cabinet yake, walitoa clip za wazi kabisa wakisema wanaranduliwa marinda na wanaume wenzao halafu wanapewa Sh 10,000/=!!!
Watanzania tujitafakari sana huko tunapokwenda, tuache kutupa lawama kwa wengine, ni sisi ndio wenye upumbavu na kukosa maadili.
Chuo cha Uhazili✔️ sio Uwaziri❌Karibu na chuo cha uwaziri