Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

Hao jamaaa nasikia Wanapenda sana usodoma. Kuna kesi kadhaa nimezisikia kuhusu waturuki kupenda kinyume na maumbile kipindi Cha phase one hasa kwa wakazi wa mlandizi.

Wakazi wa hayo maeneo wawe makini na marinda yao ya sketi wanazovaa.
Kwa wanawake wa Tabora unauliza marinda?[emoji848] wanawake wa huko wanapenda hio michezo hatari,mm ni shahidi kwa hilo huyo dada sikutegemea kama anapenda hio michezo
 
Unaandika usichokijua ew ni mpumbavu mmoja choka mbaya hujui at historia ya nchi Yako Rudi kwenu Burundi mbwa wewe,,

Mkwawa alikuwa chief wa iringa na sio TABORA,,mbwa wewe unaishi tz ipi

Milambo ndo alikuwa chief wa TABORA ,,kama hujui usicomment usenge
Mkuu!Usibishe usichokijua,ramani yote ya Wajerumani kuivamia Iringa ya mkwawa alichoresha mnyamwezi mjanjamjanja hivi.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
hapa vitu vingi vinakwenda kwa rumours tu, akianza mmoja na wengine wanafuatia.

Kila mtu 'nimesikia ..... nimeambiwa' - yaani rumours, rumours, rumours....
Rumours kwa sababu yanayosemwa ni jinai, ndio sababu unasoma kauli kama "nimesikia ", "nimeambiwa "n.k,
Ukisha sema "nimeona " wewe unakuwa ni shahidi na watu hawalitaki hilo.
 
Tatizo la watu wa Tabora ni ufala na ushamba walionao toka kuzaliwa na ndiyo maana mimi mtu akiniita Mnyamwezi namrukia na kutaka kumuua kwani ni dharau kwangu kuitwa jina hilo, mimi si fala wala mshamba.....najitambua Saną.Tabora waarab koko kibao hawana ishu yeyote na wengi wao hawajitambui kwani hawajuwi asili yao, hapa wadada wanawashadadia waturuki, yaani of all the people...waturuki kweli? Watazalishwa na hawa waturuki na kuachwa Solemba mwisho wa siku watoto wao pia hawatojitambua kwa kutojua baba zao. Mkoa wa Tabora unaongoza kuwa na masingo maza kibao hapa nchini na watu waliovurugwa. Pia, mkoa na mji wa Tabora unaongoza kuwa na vichaa wengi hapa nchini, tukae mkao wa kula kusubiri waturuki kuwa vichaa baada ya kukataa kuoa wanawake waliowazalisha.
Mzigo mzito mpe mnyamwezi abebe
 
Pale Keko, nilikutana na dogo "mchina" nadhani alikua na miaka kati ya 13 - 16. Nywele zimevuka mgongo zimefika kiunoni. Amevaa yeboyebo huku ya blue, mguu ule ya kaki. Shati limechanika mgongoni, na alikua kachafuka sana!

Watu wakasema ni zao la wachina waliojenga Kilwa road!
Aiseeee.
 
I hope wazima wote humu ndani,

Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.

Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.

Twende kwenye mada...

Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.

Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!

NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Usisahau kupitia kusalimia wanawake wa kisomali hapo Nzega
 
Back
Top Bottom