25000q
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 4,805
- 3,773
Ushenzi wao nini na wao wanatii maagizo ya papa?Ni washenzi sana hawa jamaa
Ushenzi wao nini na wao wanatii maagizo ya papa?Ni washenzi sana hawa jamaa
Hao waturuki wapo wanawake pia?I hope wazima wote humu ndani,
Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.
Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.
Twende kwenye mada...
Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!
NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Unaandika usichokijua ew ni mpumbavu mmoja choka mbaya hujui at historia ya nchi Yako Rudi kwenu Burundi mbwa wewe,,Mnyamwezi ndie aliemuuza Chief Mkwawa kwa Mjerumani hio haijafutika katika historia.. ndio maana ya Unyamwezini yaan kuuzana tu ukisikia karibu Unyamwezini maana yake karibu tukuuze
Ndiyo maana reli inachelewa kukamilikaKwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Si na wao wanaofuata ile dini ya myaanzi ambayo Wana formula ya kutengeneza majini kwa kutumia maandiko ya anti clockwise?Katika Jamii inayojua ushirikina mkali ulaya uturuki nambari one!
Mkwawa alisalitiwa na Mnyamwezi soma historia vizuri, jamaa alimuuza mkwawa Nani kakwambia sijui km Mkwawa hatoki kwa wale wa kujinyonga ? Tena kwa kuongezea ili ujue nakujua zaidi kabla ya kujinyonga wanachukia kisamvu wanachanganya na bangi mbichi wanapika wanakula wanashiba alafu ndio wanaenda kujinyongaUnaandika usichokijua ew ni mpumbavu mmoja choka mbaya hujui at historia ya nchi Yako Rudi kwenu Burundi mbwa wewe,,
Mkwawa alikuwa chief wa iringa na sio TABORA,,mbwa wewe unaishi tz ipi
Milambo ndo alikuwa chief wa TABORA ,,kama hujui usicomment usenge
Igunga Kuna wasomali wa kutosha, huko Tabora na viunga vyake(vijijini) nimefanya kazi za kuhudumia jamii for 7yrs. Kuna waarabu karibu kila kijiji, wakitoka wadada jioni jioni hapo vibarazani mwao, utadhani wametokea Saudi Arabia jana yakeI hope wazima wote humu ndani,
Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.
Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.
Twende kwenye mada...
Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!
NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Chuo cha uhazili(Secretarial college)Karibu na chuo cha uwaziri
Makasiriko yako haya kufanyi utukane watu wote wa mkoani Tabora kama unawaonea wivu hao wadada na wewe kafilwe kama wanyamwezi washamba basi kafilwe wewe mjanjaTatizo la watu wa Tabora ni ufala na ushamba walionao toka kuzaliwa na ndiyo maana mimi mtu akiniita Mnyamwezi namrukia na kutaka kumuua kwani ni dharau kwangu kuitwa jina hilo, mimi si fala wala mshamba.....najitambua Saną.Tabora waarab koko kibao hawana ishu yeyote na wengi wao hawajitambui kwani hawajuwi asili yao, hapa wadada wanawashadadia waturuki, yaani of all the people...waturuki kweli? Watazalishwa na hawa waturuki na kuachwa Solemba mwisho wa siku watoto wao pia hawatojitambua kwa kutojua baba zao. Mkoa wa Tabora unaongoza kuwa na masingo maza kibao hapa nchini na watu waliovurugwa. Pia, mkoa na mji wa Tabora unaongoza kuwa na vichaa wengi hapa nchini, tukae mkao wa kula kusubiri waturuki kuwa vichaa baada ya kukataa kuoa wanawake waliowazalisha.
Umeandika kisomi sana.Sijui watakuelewa,ili waache hizo tabia za ovyo.Tatizo la watu wa Tabora ni ufala na ushamba walionao toka kuzaliwa na ndiyo maana mimi mtu akiniita Mnyamwezi namrukia na kutaka kumuua kwani ni dharau kwangu kuitwa jina hilo, mimi si fala wala mshamba.....najitambua Saną.Tabora waarab koko kibao hawana ishu yeyote na wengi wao hawajitambui kwani hawajuwi asili yao, hapa wadada wanawashadadia waturuki, yaani of all the people...waturuki kweli? Watazalishwa na hawa waturuki na kuachwa Solemba mwisho wa siku watoto wao pia hawatojitambua kwa kutojua baba zao. Mkoa wa Tabora unaongoza kuwa na masingo maza kibao hapa nchini na watu waliovurugwa. Pia, mkoa na mji wa Tabora unaongoza kuwa na vichaa wengi hapa nchini, tukae mkao wa kula kusubiri waturuki kuwa vichaa baada ya kukataa kuoa wanawake waliowazalisha.
Uhadhiri...hakuna chuo cha uwaziri duniani...wabongo mbona mna akili finyu hivi... jitahidi hata kuuliza uwe na info kamili kuliko kukimbilia kuandika usivyovijua.Karibu na chuo cha uwaziri
Hao wapo hapo kwasababu ya matengenezo ya hiko kipande cha SGR TABORA- KIGOMA. Waache wale raha, tuliwapa mkataba tuwaache wafanye kazi with associatedI hope wazima wote humu ndani,
Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.
Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.
Twende kwenye mada...
Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.
Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!
NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
[emoji1787] dah!Chuo Cha uwaziri wa nini ? Manyoko uwaziri umeundiwa course Mimi sijui ?
Uhazili siyo uwaziriKaribu na chuo cha uwaziri
Mkwawa aliuzwa na ndugu zake,Kuna mmoja alikua akigonga mwanamke wa kizungu,muuzaji mkubwa wa file la mkwawaWanyamwezi sio watu mna historia mbaya mlimuuza Chief kwa kujipendekeza kwa wajerumani na waarabu,
Wanyamwezi maana yake watu wa magharibi,kunakoibukia mwezi, mwarabu hawezi shindwa sema namweli aweze nyamwezj, kwenye kamusi yake hakuna nya,Nye...wanyamwezi ni makabila yafuatayo,wakimbi,wasumbwa,wanyanyembe na wakonongo...jina nyamwezi walipewa na watu wa pwaniSiyo kweli kwenye maana mkuu.
Isipokuwa ni kwamba
Nyamwezi means watu wa magharibi.
WANAMWELI =WANAMAGHALIBI.
Sasa Waarabu walichemsha kutamka neno WANAMWELI wakawa wanatamka WANYAMWEZI.
Halafu ni kuwa hili kabila halikuwahi kutawaliwa wala kuuzwa watu wake kwani lilikuwa linaogopwa sana na wavamizi kutokana na kwamba lilikuwa na uongozi dhabiti na majeshi hatari sana, pia himaya yake ilikuwa kubwa sana.
Mtemi Milambo ndiye alikuwa kipenzi cha hili kabila, pia hata yeye aliwapenda watu wake ndiyo maana hakukubali mtu yeyote awabughuzi.
Hawakuwahi kuuzwa wala kutumikishwa.
chief wewe ndio hujui historia, ni kweli mnyamwezi alimuuza MkwawaUnaandika usichokijua ew ni mpumbavu mmoja choka mbaya hujui at historia ya nchi Yako Rudi kwenu Burundi mbwa wewe,,
Mkwawa alikuwa chief wa iringa na sio TABORA,,mbwa wewe unaishi tz ipi
Milambo ndo alikuwa chief wa TABORA ,,kama hujui usicomment usenge