Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

Chief mkwawa au chief milambo maana mkwawa ni wa iringa huko milambo ndio wa tabora huko
Chief nnae mkumbuka Mimi ni Mkwawa sio Milambo maana Mirambo ni mnyamwezi sio Mhehe, aliempiga changa Chief Mkwawa ni Mnyamwezi
 
Hoja yako ni nzuri boss ongezea na kapicha;
Tangazo 5.JPG
 
Kuna Uzi uliletwa humu ukiwazungumzia hao waturuki jamaa alikuwa anatoa ushuhuda jinsi waturuki wanavyowatindua marinda dafa zetu wa kibongo mpaka kufikia wengine kuzirai na kulazwa hospital
Wametakaa wenyewe

Tamaa zao,Acha waliwe tu

Ova
 
Hawa inaonekana sijui huko kwao Ertug ni wafungwa,wanaishi kimasikini sana,dem mmoja wanamgonga mande zaidi ya wanne,na malipi yenyewe ni dusko,sema shida baadhi ya dada zetu wanashobokea rangi,ila wakiingia tu ndio wanaujua ukweli
Asilimia kubwa wafanyakazi wanaojenga barabara,reli wanaotoka
Nje wanakuwaga vuluvulu tu
Mjapan ndiyo namuonaga anajiheshimu syo mtu wa kurukaruka

Ova
 
Kuna Uzi uliletwa humu ukiwazungumzia hao waturuki jamaa alikuwa anatoa ushuhuda jinsi waturuki wanavyowatindua marinda dafa zetu wa kibongo mpaka kufikia wengine kuzirai na kulazwa hospital
Wana mundende yao hiyo inatoka Istanbul ni nomaaa
 
Dada zetu nao hovyo Sana wanazuzuka na rangi SAsa hao masikini wanazaa nao vipi kutesa watoto tu maana mradi ukiisha wanarudi kwao kama wafungwa wa kichina waliojenga reli ya tazara tu
 
I hope wazima wote humu ndani,

Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.

Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.

Twende kwenye mada...

Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.

Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!

NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Zangu nifikishie hapo Hanihani![emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom