Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

Kizazi cha Waturuki Mkoa wa Tabora

I hope wazima wote humu ndani,

Nimengia juzi mkoani Tabora, binafsi nimetokea kupapenda sana hususani maeneo ya mjini hali ya hewa ni nzuri sana, lounge ni nyingi na watoto wapo wa kutosha. Lounge kumkuta mwanamke wa Kiarabu kavurugwa ni kawaida sana, ila kiukweli watoto ni wamoto mno.

Kuna pahala panaitwa Terrace Lounge, ebwana eh hapo ni moto wa kuotea mbali, kuna baby za kila aina.

Twende kwenye mada...

Kwanini nasema Tabora kutakuja kuwa na uzao wa Waturuki baadae; sasa hivi kila unapokata mtaa lazima ukutane nao hawa jamaa. Yaani kila bar wapo, inafika stage club huwa na muda wa kupiga nyimbo za Kituruki, na dada zetu wanawagombania sana.

Naona kabisa Tabora kuja kuwa na kizazi cha Kituruki hapo baadae kama ilivyo kwa Waarabu walivyoacha uzao wao hapa Tabora. Wazeee, waturuki ni wengi kweli kweli!

NB: Nina safari ya kwenda Igunga, mwenye salamu zake anitumie mapema. [emoji23]
Ukifika Igunga, tafadhali sana ulizia nyumbani kwa Akina Shilole. ukifika piga picha utume hapa jukwaani. Nataka tu nipaone palivyo.
 
Wachina wanawake wapo na easy go ukimtaka mbongo unamla Ila uwe na staha, kuna mmoja wa kishua nilikua nampigia misele sema wachina hawanaga story nyingi akiongea akiwa anakusisitiza km anakukaripia shushwayayanje shenyenjinge swashweshishu utaelewa tu shisey shishineyuashuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao jamaaa nasikia Wanapenda sana usodoma. Kuna kesi kadhaa nimezisikia kuhusu waturuki kupenda kinyume na maumbile kipindi Cha phase one hasa kwa wakazi wa mlandizi.

Wakazi wa hayo maeneo wawe makini na marinda yao ya sketi wanazovaa.
Wasiwe na wasiwasi "marinda ya sketi" nipo hapa fundi nguo na mpiga pasi mahiri nitayarudisha kama mwanzo.

By the way Tunaweza kuweka mtego kumkamata Mturuki mla marinda. Atafutwe mdada tutengeneze mazingira tule pesa ya Mturuki.
 
Tatizo la watu wa Tabora ni ufala na ushamba walionao toka kuzaliwa na ndiyo maana mimi mtu akiniita Mnyamwezi namrukia na kutaka kumuua kwani ni dharau kwangu kuitwa jina hilo, mimi si fala wala mshamba.....najitambua Saną.Tabora waarab koko kibao hawana ishu yeyote na wengi wao hawajitambui kwani hawajuwi asili yao, hapa wadada wanawashadadia waturuki, yaani of all the people...waturuki kweli? Watazalishwa na hawa waturuki na kuachwa Solemba mwisho wa siku watoto wao pia hawatojitambua kwa kutojua baba zao. Mkoa wa Tabora unaongoza kuwa na masingo maza kibao hapa nchini na watu waliovurugwa. Pia, mkoa na mji wa Tabora unaongoza kuwa na vichaa wengi hapa nchini, tukae mkao wa kula kusubiri waturuki kuwa vichaa baada ya kukataa kuoa wanawake waliowazalisha.
Ina maana hapo usipomuoa mwanamke uliyemzalisha, anakutengeneza !?
 
Hao jamaaa nasikia Wanapenda sana usodoma. Kuna kesi kadhaa nimezisikia kuhusu waturuki kupenda kinyume na maumbile kipindi Cha phase one hasa kwa wakazi wa mlandizi.

Wakazi wa hayo maeneo wawe makini na marinda yao ya sketi wanazovaa.
wacheni kuzushia wenzenu mambo ambayo hamuna ushahidi nayo.

Lete mifano hai siyo kesi kadhaa....
 
wacheni kuzushia wenzenu mambo ambayo hamuna ushahidi nayo.

Lete mifano hai siyo kesi kadhaa....
Unataka nikuletee ushahidi gani?

Umesoma comments za wengine kuhusu hao jamaa kupenda kuwafanya wanawake mande? Mengine nilipotezea kuandika ila Kuna ambao wameandika.

Nakuuliza tena;untaka ushahidi wa aina gani ili uamini na kuridhika?
 
Uhadhiri...hakuna chuo cha uwaziri duniani...wabongo mbona mna akili finyu hivi... jitahidi hata kuuliza uwe na info kamili kuliko kukimbilia kuandika usivyovijua.
"Uhadhiri" ni kitu gani Aisee!?
 
Wanyamwezi maana yake watu wa magharibi,kunakoibukia mwezi, mwarabu hawezi shindwa sema namweli aweze nyamwezj, kwenye kamusi yake hakuna nya,Nye...wanyamwezi ni makabila yafuatayo,wakimbi,wasumbwa,wanyanyembe na wakonongo...jina nyamwezi walipewa na watu wa pwani
Yaani wao ndio wanaunya mwezi!
 
Unataka nikuletee ushahidi gani?

Umesoma comments za wengine kuhusu hao jamaa kupenda kuwafanya wanawake mande? Mengine nilipotezea kuandika ila Kuna ambao wameandika.

Nakuuliza tena;untaka ushahidi wa aina gani ili uamini na kuridhika?
hapa vitu vingi vinakwenda kwa rumours tu, akianza mmoja na wengine wanafuatia.

Kila mtu 'nimesikia ..... nimeambiwa' - yaani rumours, rumours, rumours....
 
Kuna Kachina nakavizia hapa Masaki kembamba ******* yani.. Jamaa wa ahisi malinda mule hamna mana kanatrmbea papatupapatu
 
Sidhan, Kwani hawaambulii pesa walizozidisha Bei mara tatu ya gharama za ujenzi!! Kwenye huo Mradi tulipigwa sana
Hawa inaonekana sijui huko kwao Ertug ni wafungwa,wanaishi kimasikini sana,dem mmoja wanamgonga mande zaidi ya wanne,na malipi yenyewe ni dusko,sema shida baadhi ya dada zetu wanashobokea rangi,ila wakiingia tu ndio wanaujua ukweli
 
Mnyamwezi ndie aliemuuza Chief Mkwawa kwa Mjerumani hio haijafutika katika historia.. ndio maana ya Unyamwezini yaan kuuzana tu ukisikia karibu Unyamwezini maana yake karibu tukuuze

Chief mkwawa au chief milambo maana mkwawa ni wa iringa huko milambo ndio wa tabora huko
 
Back
Top Bottom