miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
basi kwa michepuko yake..either miss chagga or yule mwingine anayemsifiaga sana..
mbona mnanichokoza
basi kwa michepuko yake..either miss chagga or yule mwingine anayemsifiaga sana..
Kwani 7hours ago ilikuwa saa ngapi?
Vijembe...!!!!
nilifichwa tanga kidogo..
kwa mamaafacebook acha kabisa!!!
No mjukuu Asprin wala hana anaekula nae yupo peke yake
Mmetengana na babu yangu jamani?
sikuza kutoka kwako hazijatimia rudi ndani
No never mjukuu wangu sijatengana nae
hee we ubibi umeupata wapi? na maufundi yote hayo??
usimwambie mke wangu lakini..
hee we ubibi umeupata wapi? na maufundi yote hayo??
Kweli mjukuu unanipenda bibi yako
Nakupenda sana na sitaki uchepuke kwa huyo bazaz maana hachelewi kuja kukutangaza hapa
Owh!!!!! Mi sichepuki bwana sichepuki kabisa sjui babuyo maana hapitwi na sketi
Yule inabidi mvumilie tu maana anazeeka vibaya