Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
hee we ubibi umeupata wapi? na maufundi yote hayo??
Ni mke wa babu yangu Asprin.Sasa wewe baba wa chovya chovya ujiangalie
Kweli mjukuu unanipenda bibi yako
Nakupenda sana na sitaki uchepuke kwa huyo bazaz maana hachelewi kuja kukutangaza hapa
Owh!!!!! Mi sichepuki bwana sichepuki kabisa sjui babuyo maana hapitwi na sketi
Yule inabidi mvumilie tu maana anazeeka vibaya
Najitahid kumvumilia kweli
😛hoto:😛hoto::rapture: