kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,493
- 18,387
Hee kumbe naye kwa kuficha ajambo si imefichuka.......
Na wewe ushakuwa victim wa maficho yake??
Hee kumbe naye kwa kuficha ajambo si imefichuka.......
Amelala
Huo mtambo aka Kiko kwa ugoro huo ndio wenyewe, hakuna kuharibu meno.
Mkuu kiwatengu ukirudi bongo uje na hizo mitambo za kutosha
Kwako au kwa mke wa pili?
Mke wa pili yupi??? Am the one and only
basi kwa michepuko yake..either miss chagga or yule mwingine anayemsifiaga sana..
Mmmhhh yupi huyo?? Hebu nitonye
Hahahahaaa or intercepted by dangerous virus...!!!
It is getting hotter now...!!! Am watching