kupeana mashemeji, nothing bad..
Mhhhhhhh?dunia hii jamani!!!!!
Thanks kaka nimekusoma kule Rep
Mbona na wewe ulipeana na mume wa miss neddy na hukuishangaa dunia hii
Mbona na wewe ulipeana na mume wa miss neddy na hukuishangaa dunia hii
Radhi gani tena, we si ulisharidhia nakuomba msamaha?
Jamani jamani sijui tu nikufanyeje wewe.Siku ile tuliweka mambo sawa
Kwani mimi nasemaje? si mambo mliweka sawa, na ni baada ya kufanyana?
Aaaaah kiwatengu jamani?Mie sijafanyana na mtu zaidi ya my sweetie hubby
Kwani mimi nasemaje? si mambo mliweka sawa, na ni baada ya kufanyana?
Jamani jamani sijui tu nikufanyeje wewe.Siku ile tuliweka mambo sawa
Radhi gani tena, we si ulisharidhia nakuomba msamaha?
U miss alikuwa nao zamani..
Aaaaah nitake radhi mie.Yule ni shem wangu jamani kiwatengu
Kama tamthilia ya isidingo vile
Ngoja nimwite Khantwe...!!! Haonekani huku isije kuwa....ni siri ya ndani