Kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na nini?

Inategemeana na muonekano wako muoaji...kama umenawiri moto unao...kama umefubaa sura kwa mikopo ndiyo pona yako....wanaweza kukuambia mchukue tu utatupaga mahari utakopoipata...
Kwa hiyo binti wao hawamwangalii ana vigezo gani

Ila kmmmk miaka hii kutoa mahari ni kupigwa tu yaani demu katumika sana wengine hadi kwa mpalange halafu unatoa mahari.

Binti katombesha tangu akiwa primary, seco mpaka chuo, bado kazini, mtaani, kimasihara na bado akiolewa anapasha viporo na washikaji zake

Wana waliokuwa wanajipigia wanakung'ong'a tu, ifike pahala wazazi watugee binti zao bure tuwasaidie kuwatunzia mabinti zao

Miaka hii tunaoa malaya tu hakuna wake aisee.
 
Mahari ni asante kwa wazazi kwa kumtunza binti yao , mahari kwa desturi zake ilikua hutolewa kwa binti alitetunzwa na akatunzika tena Bikra na anaye jua thamani ya mume.

Kwa kizazi cha sasa kulipa mahari ni wizi na ni biashara ya kununua binadamu kwa sababu mabinti wa sasa hawana matunzo yeyote na wala siyo mabikra kabisa.

Wazazi wanatakiwa waachane na dhana hiyo haraka na waanze mchakato wa kuwashukuru waoaji kwa kuwaolea mabinti zao walioshindwa kuwatunza na kuwatua mzigo mkubwa wa kulelea binti mtu mzima.

NB. MWANAUME KULIPA MAHARI KATIKA KIZAZI HIKI NI KUCHEZEA HELA KIHOLELA, HAWATAKI KUKUPA BINTI WA BAKI NAE.
 
Kwaiyo na ww utamtoa mtoto wako, dada zako bure tu?
 
Mke wako ulimchukua bure? Kama umeoa lakini [emoji28]
 
Sijaoa ila sitokaa nije kulipa mahari kwa binti ambaye sijamkuta bikra ( hajatunzwa) na huo ndiyo msimamo wangu. Siyo bikra mahari sitoi hawataki wabaki na binti yao hatakama ana mimba yangu acha awe single mother

[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwa hiyo binti wao hawamwangalii ana vigezo gani

Ila kmmmk miaka hii kutoa mahari ni kupigwa tu yaani demu katumika sana wengine hadi kwa mpalange halafu unatoa mahari.

Binti katombesha tangu akiwa primary, seco mpaka chuo, bado kazini, mtaani, kimasihara na bado akiolewa anapasha viporo na washikaji zake

Wana waliokuwa wanajipigia wanakung'ong'a tu, ifike pahala wazazi watugee binti zao bure tuwasaidie kuwatunzia mabinti zao

Miaka hii tunaoa malaya tu hakuna wake aisee.
Na hakuna namna,mtatuoa tu bro
 
Nipo wangu,sema kuna muda mambo yanakaza mpaka simu huikumbuki
Kweli aisee! Kuna muda tunakuwa sana na nyie dada zetu hapa jf mpaka unajiuliza hawa warembo wanapataje muda wa kuwa na waume au washikaji zao au muda wa kutimiza majukumu yao kama wamama au wake
 
Inategemeana na muonekano wako muoaji...kama umenawiri moto unao...kama umefubaa sura kwa mikopo ndiyo pona yako....wanaweza kukuambia mchukue tu utatupaga mahari utakopoipata...
[emoji1787]
 
1.Kwa aliyezaaa kathamani hushuka hata wazazi wa binti hulijua Hilo.
2.Bikra mzazi hutamka mahali kwa mbwemwe na maringo huku kageuza shingo upande Kama machinga wa karume.
3Msimbe Hana thamani hata Bure unapewa inclusive na mashangazi hao hata Bure utapewa
4.Mjane we beba wakwe watakua wanakuja kula ugali na matoborwa kwako Kama mahari yao
 
Back
Top Bottom