Kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na nini?

Je, kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na mwanamke kama:
1. Ana watoto au mtoto
2. Kama ni bikra
3. Kama umri umeenda sana
4. Kama bado ni msichana
5. Kama alishaolewa na kuachika

Au hivi vyote hawaviangaliwi, kiwango cha bei ya mahari tu chochote kinaweza kupangwa au kutamkwa tu?
Kabila letu huwa tunaangalia vitu vitatu Tu

1-ana mtoto au watoto akiwa na kimoja wapo mahari itapungua sanaaaaaaa yaan sanaa unakuwa huna thamani

2-Malezi na bikra ,hapa kama familia inalea watoto kwa maadili mahali huwa kubwa mno ila kama mtoto analelewa au familia inatambulika kuwa inalea watoto nje ya maadili mahari hushuka sanaaaa vyivyohivyo kama mwanamke anabikra mahali huwa kubwa Sana

3- kama uliolewa ukaachwa mahari yako itakuwa ndogo Sana .....

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Tafuta mzungu ndugu huwa hawaangalii hayo hata ukiwa na watoto unajaza kimbinyiko wanakuoa ili mradi tu uwe na sura personal

Achana na wabongo wengi ni waoga tu[emoji23]
 
Kiwango cha mahari hutegemea 1. Mila na jadi za kabila au koo husika, 2. Utajiri na hali ya kiuchumi ya familia zinazohusika, 3. Kiwango cha elimu na ujuzi wa bibi harusi, 4. Uzuri na Sifa za Kimwili za bibi harusi, 5. Negotiations na Bargaining
 
Je, kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na mwanamke kama:
1. Ana watoto au mtoto
2. Kama ni bikra
3. Kama umri umeenda sana
4. Kama bado ni msichana
5. Kama alishaolewa na kuachika

Au hivi vyote hawaviangaliwi, kiwango cha bei ya mahari tu chochote kinaweza kupangwa au kutamkwa tu?
Domo la mshenga
 
Kabila letu huwa tunaangalia vitu vitatu Tu

1-ana mtoto au watoto akiwa na kimoja wapo mahari itapungua sanaaaaaaa yaan sanaa unakuwa huna thamani

2-Malezi na bikra ,hapa kama familia inalea watoto kwa maadili mahali huwa kubwa mno ila kama mtoto analelewa au familia inatambulika kuwa inalea watoto nje ya maadili mahari hushuka sanaaaa vyivyohivyo kama mwanamke anabikra mahali huwa kubwa Sana

3- kama uliolewa ukaachwa mahari yako itakuwa ndogo Sana .....

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app

Asante kwa kunifafanulia dear
 
Tafuta mzungu ndugu huwa hawaangalii hayo hata ukiwa na watoto unajaza kimbinyiko wanakuoa ili mradi tu uwe na sura personal

Achana na wabongo wengi ni waoga tu[emoji23]

[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] aisee
 
Back
Top Bottom