Strong and Fearless
JF-Expert Member
- Apr 24, 2017
- 895
- 2,218
- Thread starter
- #21
Mwanamke asiye na biora ni mke wa mtu by default. HAPASWI KUOLEWA. ZAIDI NI KUCHEZEWA [emoji846][emoji846][emoji846]
Na mwanaume asie na bikra je?
Mwanamke asiye na biora ni mke wa mtu by default. HAPASWI KUOLEWA. ZAIDI NI KUCHEZEWA [emoji846][emoji846][emoji846]
Kama ni bikira inatakiwa mahari iwe kubwa maana wazazi wamemtunza vizuri binti yao.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kwetu is different mkuu. Its different usitake kujifananisha na sisi.Na mwanaume asie na bikra je?
Hio namba 1 na 2 ndo inanifanya hadi leo sijaoa
Kwetu is different mkuu. Its different usitake kujifananisha na sisi.
Sisi kazi yetu kama wanaume ni ku provide tu na ku take care basi. Nyie jilindeni mpate wanaume wa kuwaoa na kuwasitiri.
Ushap na msimamo wa wadai mahari
Hamna ni kuabishwa sio kusitirika.Kwaiyo kuolewa ni kustirika?
😂😀😀😀 JamaniInategemeana na muonekano wako muoaji...kama umenawiri moto unao...kama umefubaa sura kwa mikopo ndiyo pona yako....wanaweza kukuambia mchukue tu utatupaga mahari utakopoipata...
Hakuna hata moja.Kumbe izo factor zingine hazipo [emoji848]
Mbona maoni yenu magumu sana aisee 😀😀😀Mwanamke asiye na bikra ni mke wa mtu by default. HAPASWI KUOLEWA. ZAIDI NI KUCHEZEWA 🙂🙂🙂
We umejichezea huko unategemea vibopa watawaweka ndani 🤣🤣. My dear jitunze rich men look for quality women.Mbona maoni yenu magumu sana aisee 😀😀😀
Rich men na huku bonyokwa kweli tutawaonea wapi 😀We umejichezea huko unategemea vibopa watawaweka ndani 🤣🤣. My dear jitunze rich men look for quality women.
Yangu ni hayo ila kuna wengine wale nice guys wanaweza kuwa consider pia
Mtawaona google tu mtaendelea kupata walevi wenzenu tu na mateja.Rich men na huku bonyokwa kweli tutawaonea wapi 😀
Macho yangu au naota?? 😜Piga mimba kwanza, kwenye mahari huwa wanakua wapole[emoji23]
Penseli nna swali kwako, upo tayari?Hujaulizwa kaa kimya Lamomy
Ndio.Penseli nna swali kwako, upo tayari?
Chomeka miti kabisa.Macho yangu au naota?? 😜
Naenda kuweka kijiti mambo yenyewe km haya
[emoji23][emoji23] unajua kuna wazee ni wakuda, wataanza kuhesabu hadi ada za nurseryMacho yangu au naota?? [emoji12]
Naenda kuweka kijiti mambo yenyewe km haya