Mr fantastic_
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 1,152
- 1,360
Kuna mmoja anataka tena ananiambia milioni nimepiga chini hadi sasa ila nilikula ni mtamu mweupe[emoji39]Single maza na wao kwani wanataka mahari wakiolewa???
Kuna mmoja anataka tena ananiambia milioni nimepiga chini hadi sasa ila nilikula ni mtamu mweupe[emoji39]Single maza na wao kwani wanataka mahari wakiolewa???
Kama upo siriasi njoo dm tuwasiliane nahitaji mkeHata nizeeke aisee mie sintotolewa bure hi mali inalipa aisee . Halafu kunawengine wanadai nenda naye tu wengine wanadai uende naye tu hata hawataki chochote wengine wanadai ulipie mahari kwa sababu ni milanma desturi kabisa
Bure mtu anabeba tu hata binti mwenye miaka 20 kama amezaa kawaida tuNdio bure! Nina mjua mtu mmoja alikwenda ukweni kujitambulisha hakutoa hata mia mbovu kapewa mke! Huyo mke alikuwa na sifa zoote alizozitaja mleta mada ya kwamba:
1. Ana watoto au mtoto: ndio alikuwa nao
2. Kama ni bikra: hapana
3. Kama umri umeenda sana: ndio miaka 30s
4. Kama bado ni msichana: Mzazi/mama
5. Kama alishaolewa na kuachika: aliolewa na kuachika
Mlikua wapi? Mbona mnajitokeza kwa wingi sanaBado hii nayo.
Changia mijadala kistaaarabu la sivyo na hii itaungwa.
Mwingine nani?Mlikua wapi? Mbona mnajitokeza kwa wingi sana
😂😂😂😂Kwaiyo unakua kama yule bibi Alie tunza bikra yake mpk uzeeni akiwa bado anakiu ya kumpata mwanaume handsome ajitokeze amuoe endelea kutulia wakati utafika na utabaki kujisemesha moyoni tu wahuni huwaoni wakujipendekeza nakubaki kukwepwa tuHata nizeeke aisee mie sintotolewa bure hi mali inalipa aisee . Halafu kunawengine wanadai nenda naye tu wengine wanadai uende naye tu hata hawataki chochote wengine wanadai ulipie mahari kwa sababu ni milanma desturi kabisa
Nitakufikiria ngoja nitoke hukuKama upo siriasi njoo dm tuwasiliane nahitaji mke
Mpo wengi jana mlijifichuaMwingine nani?
Kuna mjinga mmoja anao watoto wawili kapata mshikaji anataka kumuoa eti lidemu likataka mahari ndio likubari kuolewa[emoji1787][emoji1787]
Hili swala la mahali mimi naona halipo sawaJe, kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na mwanamke kama:
1. Ana watoto au mtoto
2. Kama ni bikra
3. Kama umri umeenda sana
4. Kama bado ni msichana
5. Kama alishaolewa na kuachika
Au hivi vyote hawaviangaliwi, kiwango cha bei ya mahari tu chochote kinaweza kupangwa au kutamkwa tu?