Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,762
Taarifa za watu mbalimbali huwa unazitoa wapi?Ndio.
Taarifa za watu mbalimbali huwa unazitoa wapi?Ndio.
🤣🤣🤣 uongo[emoji23][emoji23] unajua kuna wazee ni wakuda, wataanza kuhesabu hadi ada za nursery
Hii njia mabaharia wengi huitumia.
Ila kwangu sipo hivyo
Kupitia kuwa na id tofauti tofauti.Taarifa za watu mbalimbali huwa unazitoa wapi?
I'm innocent [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] uongo
Ni tabia yako
OkKupitia kuwa na id tofauti tofauti.
Mxxiewww!!! 🤣🤣🤣I'm innocent [emoji23]
Najaribu kuumaliza asee ila ni kama natwanga maji kwenye kinu hawanielewi kabisa sijui nifanyaje na kuna wawili pale ninawakubali. 😔😔.Ok
Ugomvi wako na wale mabinti umeisha au bado unaendelea?
Vibenten ni kwaajili ya wenye Hela sio sisi wauza wanzuki😀😀😀😀Mtawaona google tu mtaendelea kupata walevi wenzenu tu na mateja.
Sema wengi wenu si mnatakaga vi benten msipoolewa?
😆😆😆🤣 Tafuta dalali mkuu pekeako hutoboi.Vibenten ni kwaajili ya wenye Hela sio sisi wauza wanzuki😀😀😀😀
OkNajaribu kuumaliza asee ila ni kama natwanga maji kwenye kinu hawanielewi kabisa sijui nifanyaje na kuna wawili pale ninawakubali. [emoji17][emoji17].
Daah. Maisha haya sio poa. Sema kwa vile hawataki kunisamehe naendelea kuwachokoza kidogo kidogo. [emoji16][emoji16][emoji28]
Kwakweli Kuna haja ya kutafuta dalali najua nikimpa wanzuki chupa 3 kazi inaenda haraka 😀😀😆😆😆🤣 Tafuta dalali mkuu pekeako hutoboi.
Husband material mm[emoji23]Mxxiewww!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Innocent ya nyokweee, ndio michezo yako
Misimamo.[emoji23][emoji23][emoji1787]kwanini?
Wapo wengi ubaya zaidi ni wake za watu na wamenizidi umri labda darlin huyu nampenda sana 😁😁😁Ok
Who is your crush hapa jf? Be honest
Hakikidha by 30 upo kwenye ndoa na una mtoto juu. Ushauri wangu huo.Kwakweli Kuna haja ya kutafuta dalali najua nikimpa wanzuki chupa 3 kazi inaenda haraka 😀😀
OkWapo wengi ubaya zaidi ni wake za watu na wamenizidi umri labda darlin huyu nampenda sana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wamejiunga kataa ndoa wote😀😀Hakikidha by 30 upo kwenye ndoa na una mtoto juu. Ushauri wangu huo.
Maana ukivuka hapo wanaume wengi watakuchukulia kama naniliu hivi. Si unajua tena 😆
Wala hata kataa ndoa ni maneno tu ila moyoni sio hivyo..Wamejiunga kataa ndoa wote😀😀