Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Usihukumu jambo usilojua, hii ilianza jana waliokuwa na chuki walifurahi sana. Naona mnaongezekaHuyo penseli 4 alikuwa anatumia multiple Ids ikiwemo hiyo Cute Wife moderators wameziunganisha na kumpa ban takatifu maana alizidi matusi
Kijana wa hovyo huyo penseli nne alikuwa anajifanga demu (Cute wife) kumbe demu, naona kapatikana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mods wamechemka, sababu waliyotoa ni comment, Tena baada ya mm kumuambia ww utakua flani akasema ndio, nikamuambia njoo na I'd yako ya siku zote, akasema imepigwa ban kama kama cute wife. Hiyo comment imeoigwa ban Kama ya cute wife ndio sababu ya wao kuunga hizo I'd