Fabian Vitus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2022
- 6,347
- 8,254
We nenda upangiwe tu😄Je, kiwango cha bei ya mahari kinategemeana na mwanamke kama:
1. Ana watoto au mtoto
2. Kama ni bikra
3. Kama umri umeenda sana
4. Kama bado ni msichana
5. Kama alishaolewa na kuachika
Au hivi vyote hawaviangaliwi, kiwango cha bei ya mahari tu chochote kinaweza kupangwa au kutamkwa tu?