Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,561
- Thread starter
- #121
SAWAnimeona ni taruzi nimeshaomba msaada
SAWAnimeona ni taruzi nimeshaomba msaada
poaoho sawa rafikii
Ujui kama ana urafiki na bashiteDiamond Platnumz walishamfungia youtube
na mm since jf ilipofungiwaga sikuwahi kupost youtubehahahaha oyooo sheria imetolewa JULY 2018 we post tu
TCRA na BASHITE yaingilianajeUjui kama ana urafiki na bashite
JOTI mbona anapost na hajafungiwa jamaana mm since jf ilipofungiwaga sikuwahi kupost youtube
Aisee I can't wait kwakweli 😂😂😂Subiri tu wakishakufungia ndo utajua wanafugafungaje!!!!
Diamond Platinum
Ni sheedahKidogo utasikia ambatanisha leseni ya biashara toka halmashauri [emoji23][emoji23]
Hiki ndicho kilichofanya umwagiwe matusi jana! Kumbe ilikuwa halali yako kabisa!expectation kills wayegoo dada zetuuu mmmh mkikosa watu mnalia humuu ohooo
Changamka sasaAisee I can't wait kwakweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo milioni 2 bora hata ufungue biashara nyingine.Hahaha haha uuuuwi baadae sana
Sina Mil 2 Kwanzaa mil 2 naitafuta sijaipata mpaka Leo
Nikiipata nitajisalimisha kwa pilato
kwani wasanii wapo??????????????JOTI mbona anapost na hajafungiwa jamaa