Awamu ya tano jiwe anataka kila mtu aishi kama shetani.
Diamond Platnumz walishamfungia youtubePolee aisee
Hahaha haha uuuuwi baadae sanaUkijifanya mbishi utalala korokoroni...tii sheria bila shuruti,zile zama sio hizi bibiee...
Ngoja niendelee kubaki London nikipata mil 2 nitakuja TzJaribu kufanya 'cost & benefits analysis' kama haikupi hasara lipa kodi,na kama inakupa hasara buni biashara nyingine;kawaida si vizuri kubishana na mfumo kwani mwisho wa siku ni wewe na biashara yako itaumia;na mfumo unabadilika,kesho
unaweza kuwa wewe au yeyote yule.
Hahaha ha na wewe una YouTube? !ukipata majibu unitag plz Money Penny
AkyananiOnline content Regulations ni ubatili mtupu.
Kama walikuwa wana nia ya kumlinda Rais Magufuli ni afadhali wangetumia mbinu nyingine sio hii.
Inaua ajira na ubunifu.
Kuna hivi vijamaa vingine vinajiita basata!! Ni kama tumerudi enzi za ujima.
yeahHahaha ha na wewe una YouTube? !
AsanteAwamu hii tunashuhudia mambo mengi tena ya kushangaza.
Poleni waathirika wa hili.
Huku Tz au?!Tafuta patner tatizo la waswahili unanataka umiliki 100 per mfate mwenye mzigo mnafungua company mnagawana hisa wewe unakuja na ubongo yeye hela mnaweka kaofisi anakupa na kakijana ka it kazuri kucheza na mavideo clip,there you go
Njoo pm ntakutumiakwa ike nyuzi ya ulevi naomba youtube channel yakoo wewee mudadaaa
Unatunbuliwa na wakuu ndo maana yake ya kufungiwaNataka kujua watanifungiaje YouTube me sijaifungulia Africa?!
HahahahahaWanataka ukatoe milioni 2 za madafu wakaseme mapato yameongezeka mkuu
Maskini nimeskia wamekamatwa shafii ah jaman kwanini yeye si anapost mpira? !Hawakufungii as per say, ila km uko tz wanakukamata km walivyomfanyia Shafii Dauda, afu wanakupeleka selo unasota paleeeee ukitoka uko hoiii unawapa tuu, ila km uko lets say south africa unapost fresh tuu. Km huko hamna sheria km hii unapost tani yako
jaman sudi brown nae kakamatwa kwaniniUnatunbuliwa na wakuu ndo maana yake ya kufungiwa
HujakoseaNadhani ungeenda TCRA pale utapata mbadala wa swali lako. Hapa tutakuchanganya kwakuwa unataka jibu na hakuna mtaalam wa kukupa ushauri kama sio jibu. Samahani kama nitakuwa nimekosea.
Sasa wanafungiaje viwanda jamaa dohVitafungiwa vingi zaidi... Ni swala la muda tuu
Sudi alizidisha masihara na wakuu eti mtu unakuja na staili unajiita Shilawadu news[emoji23] haki ya nani wakuu hawaez kukuachajaman sudi brown nae kakamatwa kwanini
Mbona shigongo hawamkamati? !
Kodi nalipa ila hiyo TCRA SIJAENDA KABISAKwani kodi unalipa?
Ushafungiwa?!yeah