Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa!

Kiwanda Changu Cha Mapenzi Kinafungiwa!

Unajua mimi mambo mengi sielewi
sijui nihame nchi au sijaelewa? !

Ajira hamna
Biashara ngumu
Tukikaa vijiweni mnatufukuza
Tukifungua vioski mnatufungia

Sasa Mimi Penny Kiwanda changu ni Cha Burudani ya Mapenzi alafu mnatufungia mbona mnaninyima Pensheni ya uzeeni jamaa?!

Naskia wanafungia mpaka YouTube sa akina sisi tutakula wapi?!

Hio Dola 900 au Tsh milioni 2 nailipaje kama sijapost video YouTube wanikubali kwa platform na traffiking ya viewers ili waanze kunilipa?!

Sasa tufungueje Viwanda?!

Wengine YouTube na Website ndio inatupa msosi jamaa

Alafu Kwanzaa sijaelewa, TCRA Inamfungiaje mtu YOUTUBE yake labda? !

Maana mtu kama mimi sijaifungulia YouTube Africa mnaifungaje sa?!
Wataalamu tuambieni

Kiwanda changu Cha Mapenzi wanataka kunifungia yeleuuuwView attachment 877889i
Kama channel yako inaingiza pesa nzuri na ya kuridhisha,Jichange tu ukalipie utafanyaje sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom