Umeona madhara gani hapoHalafu yanaibuka mamtu yanasema hayo madude hayana madhara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????? shame upon them
wewe unaona wapo sawa hao?Umeona madhara gani hapo
Hapo wametulia "wanameditate" yaani kwa mlevi wa pombe hapo angekua "kazima" hajitambuiwewe unaona wapo sawa hao?
Kama wewe ni mtumiaji utaona wapo sawa kwa sababu umekwisha kuwa adictedHapo wametulia "wanameditate" yaani kwa mlevi wa pombe hapo angekua "kazima" hajitambui
kinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M
Usinishambulie personally nijibu kwa hoja, umeshawahi kuwaona wale watu wanaozima mitaroni kwa ajili ya kunywa pombe kupitiliza?Kama wewe ni mtumiaji utaona wapo sawa kwa sababu umekwisha kuwa adicted
kinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M
Mungu tupe uvumilivu..

Hao ni wale ambao hawafanyi kazi, muda wote maskanikinachoniuma sisi wenye dada, ndo unakuta dada yako kafa kaoza na mafunza anatoa kwa kijana kama huyo, ambaye si dira tu ya maisha hana hata hela ya kwenda kumezea mmea anachukua kwa dada yako, sasa unajiuliza wajomba zako watakuwaje maana shemeji ni hatari zaidi ya sumu ya teja. M
Mungu tupe uvumilivu..
Walegalize tulipe kodi, sasa hivi unataka hiyo kodi ikalipwe police station? Mnasema zina sigara mchango mkubwa kwenye kodi hii hapa ndo funga kazi sasa kwa nchi ambazo zilishajitambuaWanalipa kodi?
$wissme
Walegalize tulipe kodi, sasa hivi unataka hiyo kodi ikalipwe police station? Mnasema sigara zina mchango mkubwa kwenye kodi hii hapa ndo funga kazi sasa kwa nchi ambazo zilishajitambua
Kalijifunze madhara ya sigara na ya bangi halafu uje kutueleza hapa.Halafu yanaibuka mamtu yanasema hayo madude hayana madhara!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!????? shame upon them
NilishajifunzaKalijifunze madhara ya sigara na ya bangi halafu uje kutueleza hapa.