tufaham kwamba Lowasa anafahamu siri kubwa ya serikali ya mapinduzi, ndio ameanza, alipoizungumzia serikali ikaona atatoa siri ya kufungwa kwa kiwanda hiki, sasa vilevile tujiulize kwanini serikali haikufungua miezi 8 kabla ya uchaguzi au ikifungue baada ya uchaguzi? Lowasa aligusia habari ya shirika la ndege na alikataa tanzania haiwezi kuzidiwa na mataifa jirani yanayo miliki ndege maana yake anajua nini cha kufanya jana usiku safari za Airtanzania zimetangazwa kuanza kwenda Mwanza, Lowasa alipojiunga na UKAWA alisema anachukia umaskini na atafanya kila iwezekanavyo kutatua tatizo la umaskini leo hii serikali kupitia chama tawala wametangaza kumaliza umaskini ndani ya mda mfupi sana hivi kunanini katika vitu hivi sasa tumeelewa kuna umuhimu wa kuwa na Lowasa katika upinzani. Maana anazifaham siri kubwa zote za chama tawala na mipango ya kuendelea kuwa kandamiza wananchi, sasa Gesi na yenyewe imeanza kazi kwa kasi kubwa sana wanaogopa nini? Wangebaki na motion yao tu ili tuone itakuwaje maana sasa hata wakifanya hivyo haitasaidia maana ni haki ya watanzania walitakiwa kuipata miaka iliyopita tuwaachie wananchi wenyewe kila mmoja aamue anavyotaka maisha yake yawe kwa kutoa kura yake na kumpa anayeona atamvusha na kumfikisha anakotaka.