Chakochangu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 2,668
- 2,174
Kila mgombea analisemaAcha ubabaishaji, kila mgombea hilo analisema, vipi huyu wenu mara oooh ntaanza na mama Ntilie! Mara ntaaza na bodaboda! Yaani nchi hii matatizo ni ya makundi 2 tu!? Na kwanza huwa akienda mikutanoni anasoma upepo akiona bodaboda na mama lishe wamekuja anawasifia! Ngoja akikutana na wakulima, wanafunzi, wafanyakazi nako atawzingua hivyo hivyo! Kifupi HANA SERA!!!
Lipi, la Katiba ya Wananchi?