Lowassa ndiye alikiua hicho ni nani asiyejuwa hilo?
Akasikia kinafufuliwa akadandia hoja.
Wajinga Ndiyo Waliwao.

Lowassa sasa ni kama MAJI, Usipoyanywa basi utayaoga.
CCM HAWANA JIPYA,WATANZANIA TUMEWACHOKA WEZI...KURA ZETU NI KWA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA. Teh Teh Teh sitawadondoshaa...
Hebu tuambie alivyokiua.Alikuwa ndio mkurugenzi,mhasibu au?
Ninavyojua mimi kiwanda kilikufa kwa uwizi wa wafanyakazi.. Nakumbuka sana matairi yalivyokuwa yanaibiwa usiku na wafanyakazi wa hapo. Sasa Lowasa alikiuaje?
utetezi dhaifu kwa hoja nzito mwaka huu mtasema hata Lowasa ndo.imeua ccm mlivyochanganyikiwaLowassa ndiye alikiua hicho ni nani asiyejuwa hilo?
Akasikia kinafufuliwa akadandia hoja.
Wajinga Ndiyo Waliwao.
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo.
Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre.
Sasa naona serikali ya CCM imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.
Bravoo Lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
Acheni usanii nyie #Teamdodoki .
lowassa alishutumiwa kuhusika na kufa kwa kiwanda hiki.lema aliitumia gia ya kukirudisha kiwanda hiki kwa serikali wakati anagombea mwaka 2010.
Juzi lowassa alisema ataliongekea suala hiki la General tyre kampeni zikianaza.niliweka thread kuhusu kauli hii lakini mods waliiemerge!
Mmiliki aliyekiua ni El according to Lema.
#hapakazitu
soma comments zangu kwenye thread hii hapa....
https://www.jamiiforums.com/uchaguz...is-kwa-tiketi-ya-chadema-67.html#post13646662
Moderator msiwe mnaunganisha threads bila taarifa!
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo.
Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre.
Sasa naona serikali ya CCM imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh. Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka.
Bravoo Lowassa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
Mtoto ukimpa pipi, hata kama alikuchukia, atakupenda. Ni kweli wamechelewa. Wanajaribu kutupa pipi. Tuwamwage tu.
Wachaga akili dongo sana! Subirini baada ya uchaguzi mtaona moto wake! Mnafikiri watanzania ni wapuuzi kihivyo kwa mikakati ya kipuuzi ya kikabila!
Wanajua Arusha ni ngome yetu. Hawapati kitu hata wafungue fibre board na Unga Limited,
Kazi wanayo Mwanza ngome nyingine kuna MWATEX sijui nacho watakifungua ? Ngoma iko Kigoma hakuna hata mtaro wa maji machafu wa kufungua.
Serikali inachokifanya ni kutaifisha kimyakimya Mali za lowasa alizozipata kimagumashi. Pigo la mwisho lazima yamfike ya kigoma malima!Chezea professor JK wewe?