Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Hizo 75% ya hisa za serikali zimeshindwa nini kuifufua hiyo kampuni?

Wakipewa hiyo 25% zilizobaki zitasaidia nini?
 
Huyu mh.ni zaidi ya kiongozi na kama ni unabii wa kutimia na unaenda kutimia kwa halali..

Ilikuwa kwenye kutafuta wadhamini mkoani arusha katika mkutano ule aliahidi kujakulitolea ufafanuzi suala la kiwanda cha matari kikubwa afrika mashariki pindi kampeni zitakapo anza .
Lakini katika hali ya kustaajabisha walio wengi serikali inayo ongozwa na c.c.m imeanza kulishughulikia haraka kabla ya ujio wa lowassa hapa arusha .
Hii siyo tu una upako wa uongozi bali pia ni ukweli kuwa unafaa kuiongoza nchi hii katika nafasi hiyo uliyo iomba!
-leo tumeshuhudia serikali kupitia kwa katibu mkuu wa serikali bwana:imbeni sefue wakieleza hatua zilizo chukuliwa na jinsi wanavyoenda kukiboresha kiwanda.




Nasema asante lowassa hata kabla ya kuapishwa ahadi zako zimeanza kutekelezwa.
 
Nawambia tena safari hii tukitumia vibaya hii fursa basi Tanzania itabaki maskini milele na milele.... Viongozi kama Lowassa wanatokea baada ya miaka 50 kama sio 100...

Tukimpoteza Lowassa this time walahi tumekwisha....
 
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
...watawala wa ccm wanaweweseka sana...yani walikua wapi miaka yote hadi leo aongee Lowassa ndio wafanye???huu ndio ule unafiki na urongo tunaosemaga humu....waache waacheni waweweseke lakini point anachukua Lowassa na UKAWA yake....tutayaskia mengi hadi october...
 
Unataka kujuwa ilani ya ukawa? Ni kupambana na umasikini, tatizo la ajira, rushwa, kubwa zaidi ni katiba ya wananchi ambayo ndio msingi mkuu wa kuundwa ukawa. Serikali tatu.

You Nail It!!!
 
Nawambia tena safari hii tukitumia vibaya hii fursa basi Tanzania itabaki maskini milele na milele.... Viongozi kama Lowassa wanatokea baada ya miaka 50 kama sio 100...

Tukimpoteza Lowassa this time walahi tumekwisha....

NI Lowassa yupi unaemzungumzia? Kama ni huyu mamvi basi umeumia huyu jamaa kwanza mwizi tena fisadi isitoshe ni mtu wa visasi kumbuka Kilichomtokea mwakyembe Lowassa afai hata kuongaza nyumba kumi ikulu atisikia kwenye radio tu
 
leo kwenye taarifa ya habari ya channel 10, katibu mkuu kiongozi balozi seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha general tyre cha arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba mh lowasa alipoenda kutafuta wadhamini mkoani arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, arusha general tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa namwomba mh lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi
hahahha......haya boss safi sa.
Na
 
EL ni mtendaji..
unapoona wabaya wako wanatumia nguvu ya ziada kukuchafua kwa kosa la kulazimisha..
ELEWA WANAKUKUBALI KUPITA MAELEZO..
 
walisubiri uchaguzi?asitu danganye balozi seif miaka 20 walisubiri nin kuifufua
 
Ccm wanayo Kazi ya kufanya kuwabadilisha watu mtitazamo yao..... Watu wamesha wasanukia ccm ni matapeli wakutupwa wanawapa mkono Wa kulia alaf wanawanyang'anya kwa mkono Wa kushoto.......

Muda wote huo hawakuona umuhim wa kufungua hicho kiwanda wanategea karibu na uchaguzi watupake mafuta kwa mgongo Wa chupa.....uchaguzi huu ndo hatima ya mwisho kuwepo madarakan...mana hakuna namna inabid mfe tu.... Pu..MBA...fff
 
Back
Top Bottom