JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,200
Kwani mmesahau kuwa moja ya sababu ya mvutano wa Lema na Lowasa Arusha mjini ni general tyre? Na mmesahau hoja ya mwakyembe kuhusu ununuzi wa ndege za atcl?
Kumbuka alisema pia "Mimi na mgombea mwenza wangu tuko imara mbele na nyuma"Kipaumbele cha Magufuli:Sitawaangusha.
Kipaumbele cha Magufuli:Sitawaangusha.
watafanya twende BRELA kuwa 2naweka hatimiliki ya mawazo ya mgombea wetu na vpao mbele vye2 kuepuka wiz wa idea zetu
It's working. CCM hawakumtaka Lowassa kwa sababu wanajua rekodi ya uchapakazi wake! Yeye sio msanii akisema kitu anamaanisha.
Hongera sirikali
Watanzania tulishaanguka LOWASA atatunyanyua . hureeeelowassa ni mwanaume wa shoka
Tena anasisitiza...
Napenda kuwahakikishia kuwa sitawaangusha.Kisha anamalizia na Arincherema Arija.
Hivyo ndivyo vipaumbele vyake.