Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

kiwanda cha General Tyre kufunguliwa mda wowote kuanzia ivi sasa.Leo wajerumani wamekabizi shares 25% kwa serikali ivyo 100% GT iko kwa serikaliAmbapo barozi Ombeni Sefue alishuhudia ilo tukio leo.Katibu wa wizara ya viwanda na biashara anasema mda wowote wanaweza fanya trial run wanamalizia kurekebisha mifumo ya umeme malighafi zipo za kutosha
Source:Channel Ten habari leo

Najua kiingereza si lugha yako, lakini hata kiswahili yakhe?
 
Sasa kitakufa rasmi baada ya kukabidhiwa mchwa so called serikali ya magamba
 
Acheni usanii nyie #Teamdodoki .

lowassa alishutumiwa kuhusika na kufa kwa kiwanda hiki.lema aliitumia gia ya kukirudisha kiwanda hiki kwa serikali wakati anagombea mwaka 2010.

Juzi lowassa alisema ataliongekea suala hiki la General tyre kampeni zikianaza.niliweka thread kuhusu kauli hii lakini mods waliiemerge!

Mmiliki aliyekiua ni El according to Lema.

#hapakazitu

soma comments zangu kwenye thread hii hapa....


https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania/907518-updates-kutoka-arusha-mkutano-wa-kumtambulisha-mgombea-urais-kwa-tiketi-ya-chadema-67.html#post13646662

Moderator msiwe mnaunganisha threads bila taarifa!

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/851461-kwanini-lowassa-haongelei-general-tyre-2.html
 
Last edited by a moderator:
Leo kwenye taarifa ya habari ya Channel 10, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Seif ametangaza kwamba serikali itakifufua kiwanda cha General Tyre cha Arusha mapema iwezekanavyo. Tunajua kwamba Mh Lowasa alipoenda kutafuta wadhamini Mkoani Arusha alitangaza vipau mbele vyake kimoja wapo ni kukifufua kiwanda cha matairi kilichokufa kwa muda mrefu, Arusha General Tyre. Sasa naona serikali ya ccm imeamka na kusema kwamba watakifufua kiwanda hichi. Sasa Namwomba Mh Lowasa aendelee kutoa vipau mbele vyake kwenye kila mkoa, serikali inamsikiliza sana na wanajua anachosema ni kweli atafanya, sasa wanaamua kuamka. Bravoo Lowasa, na serikali pia kwa kumsikiliza mzee wa maamuzi

Miaka 20 yote walikuwa wapi..... Saizi naona baada ya viongozi wa chama kushindwa watumishi wa umma wameamua kuokoa jahazi kwa kutoa ahadi hewa
 
Direct employment 360 staff na pia katibu wa wizara husika ameahidi kuwa subject to expansion ajira itaongezeka.
 
Kuna mambo mengine madogo madogo hayaitaji ilani mkuu, hata JK kuna mambo makubwa alifanya hayukuwepo kwenye ilani ya ccm! Mfn Chuo Kikuu cha UDOM

Hahaha ww kikwete kapelekwa tu cz haikuwa wazo lake yeye mwenyewe alipokea chuo ka zali.
 
Ahadi zilizoahidiwa 2005/2010 zilizotekelezwa hazifiki hata 10% huku ikiibuliwa miradi lukuki ambayo aikuahidiwa kisa tu kwa vile ilikuwa na 10% (cha juu) kikubwa.
Hii miezi miwili ya kampeini ni lazima watajichanganya tu na huu ni mwanzo! Ina maana hizo pesa walizolipa zimetoka bajeti gani!?
 
Dola milioni moja za kimarekani zimetumika kununua izo hisa 26.
Kumbe ela zipo mkibanwa na mahitaji ya wananchi hasa ili suala la ajira
 
Back
Top Bottom