Chivundu
Platinum Member
- Dec 17, 2012
- 9,902
- 14,313
Juhudi za Mbunge wa Arusha Mh. Gobless Lema zimeonekana. Ikumbukwe Lema alishapiga sana kelele bungeni na kwingineko juu ya kufungwa kwa kiwanda hicho ambacho kina mchango mkubwa kwa uchumi wa Arusha. Hansard za bunge ni ushahidi juu ya juhudi za Mh. Lema katika hili. Selikali imeyasema hayo leo kupitia Katibu mkuu kiongozi Ombeni Sefue.
Wana Arusha mfikirieni tena kijana wenu.
Wana Arusha mfikirieni tena kijana wenu.