Kiukweli huwa sipendi usafiri wa ndege basi tu

Kiukweli huwa sipendi usafiri wa ndege basi tu

leta link basi hapa....

Thubutuuuuuu ngoja akaangalie ile Seconds from Disaster kama atakaa apande ndege tena. Nazipenda sana zile documentary lakini zimenifanya niogope zaidi Usafiri wa ndege. Siutaki pia, omba usiwe umepanda precision Air. Lazima utafute maana ya hilo jina
 
Kwa ukweli hata mimi huwa naogopa sana, hasa muda ule inavyopaa pale nakuwa sina amani hata kidogo, ikitulia juu napata afadhali kidogo, uoga unakuja tena ndege ikiwa inayumba kutokana na rough air, lakini cha ajabu ndege ikitua salama najihisi kuwa nili enjoy sana nikiwa kwenye ndege mpaka natamani nipande tena ndege, na pia napenda sana kuangalia ndege ikiwa inapaa au kutua mpaka nafikiria kufanya kozi za pilot, ki ukweli nina nia ya kuwa pilot kwa wenye kujua kozi inahitaji sifa gani, ada zake, mahali vyuo vilipo na muda wa kozi nisaidieni information hizo.

NIMECHEKA sana eti ukishatua unahisi ulienjoy sana! Acha visa mpwa
 
June last year nilibadili ndege pale Bole, Ethiopia. Ile ndege ilikuwa ndogo daaaah!ilikuwa inayumba mno....roho mkononi mpaka tunatua mwl nyerere kila mmoja yuko hoi.sitaisahau ile safari. Rafiki yangu mmoja yeye alikuwa anaendelea na safari hadi zanzibar, alinambia baadae kutoka pale mwl nyerere hadi zanzibar alitamani ingekua gari amwambie dereva amshushe...was worse!
 
Ha ha ha....... SaidAlly nadhani nikisafiri na wewe ndege moja.........tutawaua abiria wengine kwa pressure.........sasa ukitaka kudance sawasawa.........panda ndege ya watu 4-12.........mambo ya ndege ni magumu sana kwa kweli.........sijawahi kuzoea na wala sitakaa nizoee............

Hivi vidogo ndio balaa aisee... Huwa natamani nimeze valium aisee...
 
Last edited by a moderator:
June last year nilibadili ndege pale Bole, Ethiopia. Ile ndege ilikuwa ndogo daaaah!ilikuwa inayumba mno....roho mkononi mpaka tunatua mwl nyerere kila mmoja yuko hoi.sitaisahau ile safari. Rafiki yangu mmoja yeye alikuwa anaendelea na safari hadi zanzibar, alinambia baadae kutoka pale mwl nyerere hadi zanzibar alitamani ingekua gari amwambie dereva amshushe...was worse!

Hahahahahaaaaa hahahaaaa.... Eti amshushe..... Lol I understand that feeling... Mi kuna siku nilitamani nipoteze fahamu nizinduke nikiwa airport.... The weather wasn't good at all
 
Ha ha ha....... SaidAlly nadhani nikisafiri na wewe ndege moja.........tutawaua abiria wengine kwa pressure.........sasa ukitaka kudance sawasawa.........panda ndege ya watu 4-12.........mambo ya ndege ni magumu sana kwa kweli.........sijawahi kuzoea na wala sitakaa nizoee............

Halafu uwakute ndio wanaishtua namna hii
 

Attachments

  • 1420268284156.jpg
    1420268284156.jpg
    8.8 KB · Views: 253
Last edited by a moderator:
Hivi jamani niwaulize na nyie uwa mnajiskiaje pale ndege inapotaka kutua? maana mie uwa natamani nife,uwa kichwa kinaniuma,kipanda uso ndo usiseme natokwa na machozi mpaka makamasi..huwa inanichukua siku mbili mpaka tatu kurudi katika hali ya kawaida...hivi ni tatizo langu tuu au? maana nikiwaangaliaga wengine nakuta wako happy wanachungulia dirishani na wanapiga piga mapicha kibao ya mwambao wa bahari ya hindi.
 
Kwa kweli hakuna usafiri mzuri na raha kama ndege, nilianza kupanda nikiwa na umri mdogo labda hii pia imenisaidia, na kwa kuwa sina uoga kabisa imenisaidia sana ila tatizo langu ni kuumia masikio wakati inaanza kutua huwa najisikia vibaya sana otherwise ni raha tupu especially ndege kubwa
 
Mie ni bora nisafiri kwa mguu kuliko kuji Malysia huku naona.
anza na ungo upate kwanza uzoefu.
Aaaah wewe ni kiboko
unaweza kweli kutembea kuanzia Geita kwa miguu hadi Magogoni (Ikulu)

  • jiulize km ni safari ya kuvuka Mabara Dsm hadi Ghuanzong masaa zaidi ya masaa 18 kwa ndege?
  • ni shughuli ngapi za kukuingizia kipato uizoziacha kwa kutembea huko au meli kufika Malysia
Ndege zote zimetengenezwa kutua kwa usalama hata km matairi yatagoma kutoka, hata ikiwa angani kuna parachuti
MY TAKE
hata porini kuna wanyama wakali kma mbweha, simba wala watu (simba wa Singida)
 
usafiri salama kuliko wote duniani ni ndege. uwiano wa ajali kwa ruti ni 1:4,000,000. yaani kati ya ruti milion 4 ajali ni moja. barabara ni hatari kuliko maelezo. yaan sisi tunategemea usafiri hatari zaidi kuliko wowote. meli ya pili kwa usalama ikifuatiwa na treni. kwa mfano mashirika makubwa ya ndege kama emirates, BA, Lufthansa nk unaweza kuskia ajali moja baada ya miaka 30!
 
Humu n kwa waliopanda ndege mi bado, jamani tutaonana baadae kwenye thread zengine

Subiri........tunakuja kwenye meli.......then bus.........kuwa mpole.........
 
Kwa ukweli hata mimi huwa naogopa sana, hasa muda ule inavyopaa pale nakuwa sina amani hata kidogo, ikitulia juu napata afadhali kidogo, uoga unakuja tena ndege ikiwa inayumba kutokana na rough air, lakini cha ajabu ndege ikitua salama najihisi kuwa nili enjoy sana nikiwa kwenye ndege mpaka natamani nipande tena ndege, na pia napenda sana kuangalia ndege ikiwa inapaa au kutua mpaka nafikiria kufanya kozi za pilot, ki ukweli nina nia ya kuwa pilot kwa wenye kujua kozi inahitaji sifa gani, ada zake, mahali vyuo vilipo na muda wa kozi nisaidieni information hizo.

Mkuu chuo kipo Tabata Mafengeni pale na nje kuna picha kabisa ya dege kama A 380 hivi, ila kiukweli nasikia ukisoma hicho chuo, hizo ndege zenyewe utashuhudia tu kwenye tv jinsi zinavyorushwa.
Labda kama umenunua ki-cessna chako hapo sawa.
Huwezi kurusha dege la abiria kama umesoma bongo, kama upo serious nenda kipawa kaombe mwongozo.
 
Back
Top Bottom