Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Hahahahah sasa angeendaje kamanda wakati anahisi kuna dili fulanifulani zitaweza kuibua maswali ambayo hayatakuwa na majibu. Usicheze na wanasiasa bana. Ndio maana Zito alisemaga usimwamini mwanasiasa hata siku moja. Tunaamini kwa kukataa kwake kwenda tunahisi kuna samsing kule. Si bure. Ngoja waje wamdake

Wakifanikiwa kumuweka kwenye 18 watamsumbua sana bora angemalizana nao mapema
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kama unamzungumzia Philemoni Mbowe huyo hausiki na Chadema. Kama unamzungumzia Freeman Mbowe, muulize makonda kwanini aliongea ambacho hakijaandikaa kwenye karatasi yake?

Hivi huko Lumumba wote ni wajinga? Unashidwa kabisa kuona aliekosea ni Makonda unazungumzia ambae amesingiziwa? We ni taahira ama?
 
Uliktiwa ujiulize kwanza kwanini makonda alisema hataenda kujiueliza bundeni kama kama hata andikiwa wito rasmi
Halafu jiulize tena Madabida ulikuja kutafuta nini kwenye maswala serious ya kitaifa yasiyohitaji siasa. cheni kuishi kwa visasi
 
Big up sana Mbowe.....nchi haiwezi kuendeshwa kijingajinga afu wenye akili timamu wakae kimya
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.

Hii akili chadema hawana, na huwa hawawazi upande wa pili

story mtaani ni kuwa Mbowe ni dug dealer, kwa sababu amejificha nyuma ya mahakama

huu mchezo hauhitaji hasira wala jazba

na kila changamoto, hesabu ni opportunity
 
Wengi wanaona kama jamaa kapona lakin alichopaswa kufanya ni ku clear jambo sio kwa majibizano ukiangalia gwajima na azan wamesolve ya kwao.
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
Mbona kama hujawaza, yametoka moyoni moja kwa moja JF. Ungeyapistisha kichwani labda yangekuwa tofauti.
Uhalali wa kuitwa kituoni ndio ungekuwa msingi wa wewe kuona makosa ya Mbowe.
 
Tunafanyaje kumsibitishia makonda hakuwa sahihi kumtaja mbowe?
Sio Mbowe pekee. Hakuwa sahihi kwa kuwataja wote aliowataja lakini kupata mashabiki wengi ni kwa sababu tz ina mazwazwa wengi pia. Hakuna anayetaja japo kifungu cha sheria alichotumia au kinachompa mamlaka ya kutenda alivyotenda. Mh.Lissu kasaidia kuweka sheria ambayo inamfanya awe na Sifa ya kuitwa Mkuu wa Mkoa lakini sheria husika haijampa mamlaka ya kutenda alichotenda saw a na alipoagiza tukakaguliwe silaha kwa kuw ayeye ni Mkuu wa mkoa wakati kisheria amri ya aina hiyo haitolewi na Mkuu wa mkoa. Tz kwa sasa hivi haiongozwi kwa kufuata matakwa ya katiba wala sheria Bali machale ya wakuu
 
maandela asinge ka gerezani vile sijui kama angekua na status ile pale matatizo aya kimbiwi ni kuya kabiri tuh pangine ange pata njia ghafla.
Kwa akili za kiCCM ni kuwa Mandela alikuwa akiambiwa akaripoti polisi alikuwa anatoka mbio hata kama kaambiwa na nyumbani ili mradi ni mzungu Tu
 
Kama mbowe amekataa wito mbona hakamatwi kwa kosa la kutaa wito? Fikiri kabla ya kutenda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Hivi kumbe MADABIDA mwenyekiti wa CCM Dar alitengenezaga ARV feki eeeh
 
Abdallah Mapafyumu,Husna Vipodozi,Peter Sinza,Joyce Pamba kali,Philemon Mbowe mxiiiiiiiuu pumbavu hata majina hayajui alafu anasema anapambana na madawa ya kulevya tena unaita watu kwa majina ya utani eti waje kituoni awamu ya pili wengi wameshtuka kua kilazà kajichanganya ndio maana hawakwenda.
Wenzao walio serious na hii vita wanamfuatilia mshukiwa kwa miaka kadhaa wanamjua nje na ndani hawaachi hata chembe ya ushahidi na siku wakimdandia hana cha kujitetea,uyu mdogo wenu akiulizwa hata hawa aliowashika aweke profile zao mezani nina uhakika hana wala hajui idadi ya safari zao za nje,familia,wala wanaishi wapi hongera Mbowe kwa kukausha huo muda wakuongea na MTOTO wa ........ si bora utafute nyama choma hapo Dom.
 
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani
Hilo alilofanya Mbowe ni EXACTLY what opposition had to do. Hiyo ni brand tofauti na Gwajima au Manji..inapaswa kusimama thabiti kulinda na kufuata katiba na sheria. Hili litawakumbusha hao wanaojiita SEREKALE wanapaswa kuilinda na kuitetea katiba badala ya kuisigina.
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
Makonda alisema wamiliki au watuhumiwa wa madawa ya kulevya?
 
Makonda anamuuta mbowe police kama nani?
Kuna ulazma gani wa kumuita kwa dharau vile na wakati hana uhakika?
Unajaribuje kumfananisha mbowe na gwajima?
Kiongozi wa kitaifa unamfsnanisha na mwananchi wa kawaida? Hii mijitu mingine ni kama ina akili za kuazima.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kwenda na upuuzi wako kakosea nini hapo
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
Eti huna chama? Acha ujinga wewe umeandika upuuzi tu hakuna cha maana hapo kwenye huo mchango wako! Mjinga kama wewe tu ndo ataamini kuwa wewe cyo mwanachama wa kile chama ambacho mtaji wake ni ujinga na umasikini wa Watanzania kama ulivyo wewe!
 
Back
Top Bottom