AHMARDZ
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 790
- 679
walisha bomoa, si wame sema uchunguzi tangu awamu zote pengine anaenda kupewa bomu la tangu 1998iyo bilz iko wap?
walisha bomoa, si wame sema uchunguzi tangu awamu zote pengine anaenda kupewa bomu la tangu 1998iyo bilz iko wap?
meaning am not into siasaMini maana ya utangulizi "Mimi sio ccm wala ukawa" unatushawishi nini sisi wasomaji?
THE GUILTY ARE ALWAYS AFFRAID !Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.
Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.
Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.
Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
konda aende bungen kwanza ndipo mbowe aende central mkuKwani wengine wameitwa kwa miguu? Yusufu kaitwa kwa njia ile ile yy ana nn? Vile vile wengine pia wameenda kwa njia hyo hyo kwan wajinga? Hatumwamin tena hyu
Mkuu nakubaliana na ww lkn mbow ajue anajukumu la kujenga chama kond hanancha kupoteza lkn siasa hupaswi kutulia,saiz wanawez kumwacha lkn kukitokea anajambo la kufanya la kichama jema la kujenga ndipo watamtafta wamkamate wampotezee mda, anapaswa kujua hilo aache ubabe,watu na pesa zao kama kina yusuf wameenda yy anataka haki? Ngoja ataipata tu haki anayoitafta itakayoambatanq na kufa kisiasakonda aende bungen kwanza ndipo mbowe aende central mku
alietajwa ni Philemon Mbowe,kwa tofauti ya jina la kwanza kuna haja gani ya Mh.Freeman Mbowe kughasiwa?labda kisheria ikoje hapa,kwenye pasi,visa au vitambulisho,lipi ni jina la mwenyekiti halali wa CHADEMA taifa?imenibidi nimkumbuke @bensaanane angetoa ufafanuzi,shame on you ccm
sidhan kama umetafakari na kukijuwa ulichokiandika., mbowe kukataa kwenda si hofu wala chochote wala kuutia kiwewe upinzani na CHADEMA amekuwa akirudia mara kadhaa sheria za yeye kuitwa hazikuzingatiwa., lakin juz kamanda mwenyewe alionekana kwenye taarifa akimtaka ende si zaid ya leo j3., kwaiyo kimsingi ni kwamba ameenda kwa sababu sasa wito ni wapoliso na sio MK tenaKwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.
Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.
Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.
Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
sidhan kama umetafakari na kukijuwa ulichokiandika., mbowe kukataa kwenda si hofu wala chochote wala kuutia kiwewe upinzani na CHADEMA amekuwa akirudia mara kadhaa sheria za yeye kuitwa hazikuzingatiwa., lakin juz kamanda mwenyewe alionekana kwenye taarifa akimtaka ende si zaid ya leo j3., kwaiyo kimsingi ni kwamba ameenda kwa sababu sasa wito ni wapoliso na sio MK tena
great thinkers hapa jf si ushabiki jikite kwenye hoja yangu ndipo ukosoe otherwise jikosoeAmeenda lakin umesikia?
Mbow sio mjing kama wewe na waoKwani wengine wameitwa kwa miguu? Yusufu kaitwa kwa njia ile ile yy ana nn? Vile vile wengine pia wameenda kwa njia hyo hyo kwan wajinga? Hatumwamin tena hyu
Mmmh hamchelewagi kusema neno mjinga na hyo ni kwasabb elim yenu ndogo kuanzia mkuu wa chama,a hii game haitaki hasira ni game ya ku relax bwana mdogoMbow sio mjing kama wewe na wao