Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Ukisema hivyo unakosea ndizo mahakama tulizonazo na kuna baadhi ya maeneo zimeamua vizur kesi za mapingamiz ya wabunge
Ni kwamba hivi hapa nazungumzia hawa wanasiasa ambao wanachafua watu kwa ajiri ya siasa je jiulize kama mbowe angekuwa amejisalimisha je wangetoa tamko kuwa si mbowe ni bilicanas na kumbuka mhimili mmoja umejichimbia zaid ya mwingine je hapo kuna haki ?
 
Kutokwenda ndo njia ya
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani
kwanza kuwaonyesha hawakuwa sahihi kwa njia waliotumia kumuita, wakisharekebisha na kumuita kwa njia sahihi hayo mengine unayotaka atawaambia pia
 
Ni kwamba hivi hapa nazungumzia hawa wanasiasa ambao wanachafua watu kwa ajiri ya siasa je jiulize kama mbowe angekuwa amejisalimisha je wangetoa tamko kuwa si mbowe ni bilicanas na kumbuka mhimili mmoja umejichimbia zaid ya mwingine je hapo kuna haki ?

kuipata haki ni ngumu sana hasa ukiwa mpinzani wa serikali hilo lipo wazi ila tukirud kwa alichofanya mbowe kina madhara kwake mana wataendelea kumuwinda tu hata akisema makonda hana mamlaka ya kumuita kumbuka kama ulivyosema kuna mhimili upo chini zaidi je utakubali kumuacha bila kwenda kulitatua tatizo lake?
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu

na wale engine 61 sijui , nawao walikosea?anyway yumkini alikua busy na shughuli za bunge wangeenda kumkamata hukohuko. mimi naona wote ni sungura mjanja sema mbowe akawa sungura mjanja zaidi kutokwenda kuripoti zaidi ya yule sungura mwenye dar. Na kama mAKO pIA alisema haendi bungeni kwa maana taratibu za kumuita zilikiukwa na ufafanuzi ukatoka , Mbowe nae alisema haendi kuripoti kwa kuwa taratibu za kumuita yeye kwenda kuripoti hazikufuatwa na mamlaka husika. wakiweka ugoko unaweka jiwe....by mwana jf mmoja username nimeisahau
 
Ni mbinu ya kwanza hiyo washafanikiwa watalilia hakutokea polis ndo mana nikasema kwa mm navyowajua ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dora ni kosa kubwa pia hata makonda atakuwa na jeur kwa mbowe mkuu.
Hilo basi litakuwa sio kosa la Mbowe kama unavyosema, Makonda ndio kakosea, na kama mtu upo sahihi kuhusu jambo flani simamia msimamo wako na usipelekeshwe na woga, la sivyo utakuwa sio kiongozi
 
Kuitikia wito wenye ajenda ya uongo, kwa taratibu hasi, ni kukubali kosa la uongo!
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kaa na ccm yako acha kumtaja mzee wa watu Mh. Mtei. Sikuelewi jinsia yako lakin ukaambiwa tu barabaran mkeo katembea na fulan hivi ukifika home unamtaliki mkeo kwa habari za kusikia ili nyumba yako iaminike!!!. Mahakama pekee ndio inaweza kuyathibitisha makosa ya mtu. Ninaimani na Mh. Mbwe ,CDM na Ukawa pia. Danganya wasiojua.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
mjinga ni mjinga tu
 
b4eb94c7746a5c8424b3c32d49fb28e6.jpg
 
Angeenda tu
Jamani taratibu za kupolisi ziko wazi kabisa unatumiwa samasi kwako kama haupo anapewa mjumbe wako ufike polisi bila shuruti ukikaidi polisi wanakufuata kwa nguvu ,lakini LA mbowe wala siyo polisi wamemwitaji kama polisi kwa maana ninawajuwa polisi vizuri wanazijuwa sheria sana na kama ni polisi wangekuwa wamemkamata mbowe awe ana husika au hausiki na nilimsikiliza mbowe hajakataa kwenda kama angeitwa na mamlaka husika na kufuata sheria polisi wanajitambuwa sana na mbowe anajitambuwa ila akiyetangaza ndiye yuko tofauti
 
Shi
Kiongozi anaogopa kulala selo,mapambano atayaweza vipi?
Kitendo cha Gwajima kwenda polisi,kusachiwa na kupimwa kisha akaonekana safi,kimemsafisha kiasi kwamba hahitaji hata kuombwa radhi,lakini bwana mkubwa anahangaika jinsi ya kuzuia kuitwa kwake.
Kibaya zaidi gharama zinazotumika zinalipwa na chadema,ruzuku inatafunwa kama mchwa kwa kisingizo cha kuwalipa mawakili wa kusimamia kesi mahakamani
Shida yako ni kudhani unayo tafsiri sahihi kwa kila jambo.

Walioogopa kulala selo walijisalimisha. Huyu kasubiri akamatwe
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
maoni yako ni mazuri lakin naona ni vizuri sheria ikapewa kipaumbele zaid ili siku nyingine viongozi wa serikali wasiwe wanavuka mipaka yao ya kazi waliyowekewa na sheria ambazo ziko wazi kabisa na hii imemfanya makonda abadili gia angani kwa kumkab izi orodha hiyo ya awamu 3 muhusika na sio yeye kutangaza wahusika na kuwaita polisi.
 
Kama mapambano yenyewe tunamuhusisha MADABIDA aliyetuuzia arv feki! Bado tunaita shughuli ya kitaifa.......
Hongera sana mbowe kwa kujielewa na mpaka watume polisi hakuna kwenda!
Bahati mbaya kama washauri wske ni aina yako, kazi kweli.
 
Mkuu hebu iweke habari yako katika aya.Hili lilikuwa ni somo dogo katika Somo kubwa la Kiswahili darasa la tano.Maada iliitwa "UTUNGAJI",hapa unakutana na imla,kutunga sentensi n.k

Turudi kwenye hoja:Huwezi kuitikia mwito ambao umekiuka sheria au una utata kisheria.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm,ambapo katika anuani ya bunge hainyoshi kuwa Mbowe ni Mkazi wa mji huo,hana "nguvu" ya kumuita Mbunge wa Jimbo la Hai,mkazi wa Hai,Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni,na Waziri Mkuu Kimvuli kama vile anamuita Wema Sepetu.

Huyu ni kiongozi,ni mbunge...na ukumbuke wakati anaitwa ilikuwa ni kipindi cha Bunge,hivyo mwito huo ulipaswa kuwa rasmi kupitia kiongozi wa bunge ambaye ni Spika.Huwezi kumuita "kienyeji" Mbunge na KUB ambaye ktk nchi za Jumuiya ya Madola huyu ni Waziri Mkuu Kimvuli,sauti ya upinzani na vyama mbadala ktk nchi.Jamani hamjui hata "Concept ya Political Pluralism" ktk nchi?

Huyu ni VIP...Ana diplomatic Pass...Huwezi kumuita kihuni huni kwa sbb ya "tuhuma tu".Yeye kuitikia mwito wako,ni kukubaliana na upuuzi wa uvunjaji wa taratibu ulioufanya.

Huyu Makonda madaraka yake mwisho daraja la mto Ruvu,ni uzuri wa teknolojia tu kwamba yale majina anayotangaza anatumia radio na Tv zilizofika mpaka Kalambo,Nkasi na Kibondo.Huyu ilitakiwa atangaze kupitia E-Fm na Praise Power Radio ambazo mawimbi yake yanaishia Mapinga Bagamoyo na Mlandizi-Kibaha.
Thanks, you nailed it.
 
Mbowe yupo sawa, na ni miongon mwa watu tunaowahitaj ktk hili taifa. TUNAHITAJI WATU WANAOJITAMBUA. Kwan, kujipeleka polisi kwa amri haramu, ni kuhararisha au kutakasa haramu. Pambaneni, Mungu ni wa woopte.
 
Ndugu usiwe kama mchumia tumbo. Atawezaje kwenda kwa wito ambao Ni batili tena wenye Kila aina ya ujingà ndani yake?
Ni kweli angeenda angekubali kuwa ana makosa na anatakiwa athibitishe vinginevyo, vile vile ingekuwa kama kubariki njia ya hovyo ambayo makonda alijidai nayo eti anapambana na mihadarati. Kesi itakaponguruma mahakamani ndiyo mambo yatawekwa wazi. Makonda atabidi aweke ushahidi wake hadharani tujue mbichi na mbivu.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Mimi naona ingekuwa muhimu kwa Makonda na boss wake nao wangepimwa vipimo vyote including mental healthy
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
We Ni matako, kwenye ile list ya Makonda alimtaja Mbowe Alafu akataja na wamiliki wa Club na Casino, kulikuwa kuna umuhimu gani wakutaja jina lake wakati umetaja wamiliki kwa ujumla wao? We Naye ni msukure tu
 
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani

Angeenda ndio angejizua Maswali mengi zaidi
 
Back
Top Bottom