Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye mbowe kumuonesha makonda hakuwa sahihi.
hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa ukawa na chadema ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa chadema kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na makonda.
Mfano mzuri ni ndugu gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.
Kwa nini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa kambi ya upinzani hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kiongozi anaogopa kulala selo,mapambano atayaweza vipi?
Kitendo cha Gwajima kwenda polisi,kusachiwa na kupimwa kisha akaonekana safi,kimemsafisha kiasi kwamba hahitaji hata kuombwa radhi,lakini bwana mkubwa anahangaika jinsi ya kuzuia kuitwa kwake.
Kibaya zaidi gharama zinazotumika zinalipwa na chadema,ruzuku inatafunwa kama mchwa kwa kisingizo cha kuwalipa mawakili wa kusimamia kesi mahakamani
 
Tena hata waumini wake wataongeza idadi ya kutoa sadaka kashfa haikimbiwi hata siku moja lazima upambane nayo tu
 
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani
hata kama wito ni batili? unataka na wakuu wengine wajichukulie umaarufu kwa wapinzani?
Kwasababu hawachelewi kuiga hao wa mikoa mingine
 
Tena hata waumini wake wataongeza idadi ya kutoa sadaka kashfa haikimbiwi hata siku moja lazima upambane nayo tu
Kabisa mie naona kuna kitu pale sio bure, shujaa hakimbi vita yani yeye ndo anaikimbilia vita maana pale kuna opportunity pale, ona gwajima mpaka cheti kapewa anavyo ringa na kujidai msafi pale. manji ndo si msomi hadi sasa.
 
Tena hata waumini wake wataongeza idadi ya kutoa sadaka kashfa haikimbiwi hata siku moja lazima upambane nayo tu
Ni hapo ninapoona ufundi wa Mungu katika kumpa riziki mja wake.Gwajima alitiwa kwanza majaribuni,lakini akagundua kuwa hii ni fursa,akaenda fasta ili atoke mapema aiwahi jumapili.Na kweli,ile jumapili ilifana!kila mfuasi wake pale achange 1,000 tu.ni mavuno tosha.Hongera Gwajima
 
Mbowe angekuwa na akili angetumia wito huo kufufua ukuta,Ukiona kiongozi wa upinzani Afrika anaogopa polisi,basi ujue hakuna upinzani kwenye nchi husika
 
Walimkosa na skendo ya madawa wakaingilia masuala ya pesa kama anatakatisha lakin bado hawamkupata huyu atatembea kifua mbele makonda hana chake hapo ila mbowe yupo kwenye hatar ya kudakwa na kuongezewa kes ya ukaid wanaijua serikali ya ccm ilivyo
 
Mbowe angekuwa na akili angetumia wito huo kufufua ukuta,Ukiona kiongozi wa upinzani Afrika anaogopa polisi,basi ujue hakuna upinzani kwenye nchi husika
maandela asinge ka gerezani vile sijui kama angekua na status ile pale matatizo aya kimbiwi ni kuya kabiri tuh pangine ange pata njia ghafla.
 
Kwa kutaka kujua hoja za upinzani ni kulicjukulia tukio la jana kutendo cha kutotaja majina Yale 97 ni kiashiria tosha kama makonda alikurupuka kujua sheria ni kitu kizuri tu mbowe hakukata kuitwa na makonda
Mbowe alikata system tu iliyotumika kumuita
 
yaani yaendelee kutuibia kura adi siku ya kiama, siku yakijichanganya kutoiba na tukayashinda aloo tutayachinja mmoja baada ya mwingine pamoja na vibaraka wao adi na vijukuu vyao, yoyote atakaye shindwa kuyachinja na yeye tunamchinja vile vile!
 
Kulikuwa hakuna vita ya madawa.....nadhani kwa sasa vita ndiyo inaanza......Mbowe kamfanya mako.nda aonekane katumia ofisi yake kisiasa...Ona gwajima hajakutwa na kitu, manji hajakutwa na kitu, wema na wenzake akina TID wapo mtaani na majina 97 hayakuropokwa km ilivyokuwa kwa zile day 1& 2.....MWISHONI kabsa unakuja kugundua kuwa Manji na Gwajima wameucheza muziki wa makonda kwa kutokujua taratibu za kisheria na WANANCHI pamoja na RAIS wameelewa nini kilikuwa kinaendelea katika vita hii ya awali na baadae utaratibu sahihi umeamua uchukue nafasi.
[HASHTAG]#gwajima[/HASHTAG] na manji wanatumia gharama za kujisafisha huku Mbowe akisafishwa na Wabunge wa vyama vyote, Spika pamoja na wananchi na wafuasi wa chama chake.
 
Mbowe ananenepesha kesi na anaijua serikali ya ccm watamsumbua sana bora angemalizana nao mapema.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Kinachokwepwa ni " precedence"
 
Back
Top Bottom