Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Mbona kama hujawaza, yametoka moyoni moja kwa moja JF. Ungeyapistisha kichwani labda yangekuwa tofauti.
Uhalali wa kuitwa kituoni ndio ungekuwa msingi wa wewe kuona makosa ya Mbowe.
MKUU sio ya moyoni na unajuaje ya moyoni na fikra tuh?????? nimewaza tuh tuna pokua kijiweni tuna changamshana kwa kuchambua mambo ile naamna mtu anavyo ona yeye mwisho wa siku ugali wangu upo maana akamtwa asi kamatwa niko pale pale hata mshahara haongezeki.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
makonda hana authority ya kumuita mtu polisi, alafu sheria ni kitu kizuri sana kufuatwa kuondoa matatizo kipindi kingine.yeye alisema kama kamanda sirro anamuitaji anajua pa kumpata.kama jeshi la polisi linamuhitaji lifuate sheria ataenda tu lakini Mh Makonda authority ya kumuita
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
 
Mkuu hatuwezi kwenda sawa na serikali yafaa kuwaonesha wao hawapo sahihi tukifanya hayo ina maana hakuna wa kumkosoa mwenzie hapo hamna maana ya upinzani
aku, asingiziwe anabwia unga kama manji, no
 
mimi sio ukawa wala ccm, na wazaaa hapa kwa uchambuzi wangu, i think amekosea mbowe kuto kwenda kituoni kama yeye ana jiamini na yeye ni mwenyekiti wa chama chake ange chukua jukumu ilo kwenda aengeitikia wito kwenda tuh kutoa support regardless nini baada ya kutoka ndo ange zi sema kasoro zote, mwisho kabisa yeye mmliki wa club kubwa tuh hapa town bilcanaz sio kama ana isimamia hatakua ana watu kawa ajiri kwajili ya kuismamia club yake so pengine wafanya kazi wake wanausika? maana kwenye club kuna mengi kuna wauza unga wanakuja kuwauzia watu pale etc, club nikama kijiwe inakua ndo maana mko wa mkoa alikua ana waita baadhi ya wamiliki sio kua wanatumia au wanauza pengine unapewa report kwamba club yako ina tumika vibaya tusaidie. na WAZA TU sitaki matusi na mtu
iyo bilz iko wap?
 
Mtazamo wako ni mwembamba mno .....nakushauri ukasome kitabu cha David Felman ...."Defendant Rights" utaokota chochote likiwepo swala la right to disobey ulawfull orders....haki ya kukataa amri isiyo halali
 
Onamuongelea Phelemoni au Freeman ...hivi Manji aliyejipeleka imefikia wapi vile!?
 
Nyerere alisema "MTU mjinga akikushauri jambo LA kijinga, nawe ukajua ni jambo LA kijinga na bado ukalifanya basi wewe ndie mjinga kabisa"
Big up Mbowe!
 
Wengine waliokwenda wito wao haukuwa batili?. Wengine wote waliotoa ushirikiano ni watanzania nusu na yeye ni mtanzania kamili?.
Ukijua haki zako na ukawa unajua jinsi ya kuzitetea huwezi kukubaliana na ujinga
 
Hawa ni wanaccm wanao support chama cha Mauaji financially siyo rahisi kuguswa.

Hawa hata wakiua wataulizwa Umeya Mpinzani au RAIA wa kawaida.Na watatoka kwamba alikuwa anajiprotect.Hiyo ndiyo CCM. Wauza madawa watoto wa watawala hawajaguswa wameguswa watumiaji.Ajabu na kweli.
.
Zijue HAKI zako na zitetetee. Usiwe muoga Mbowe anajitambua, polisi watamuita. Ila kule kwa Mkemia mkuu atapeta zitakuwa zilishajiflash labda kama anatumia Guberi.
 
Wengine waliokwenda wito wao haukuwa batili?. Wengine wote waliotoa ushirikiano ni watanzania nusu na yeye ni mtanzania kamili?.
Inasemakana 50% ya Blacks IQ yao iko kwenye mstari ambao whites wanakuwa categorized kama Wenye mtindio wa Ubongo
Wewe na waliokwenda yawezekana mko ndani ya wale ambao wangekuwa wazungu mgewekwa kundi la wenye mtindio wa Ubongo lakini tunaoona uharamu wito na busara ya mkataa wito haramu tupo katika wale wenye ubongo komavu.
Sio kosa lako wala la mtoa mada ni matatixo Tu
 
Ukijua haki zako na ukawa unajua jinsi ya kuzitetea huwezi kukubaliana na ujinga
Ukijua mipaka ya kazi kwa mujibu ya sheria, huwezi kununua muda kwenye ubishi dhidi ya mamlaka halali walizonazo baadhi ya watu.
 
Back
Top Bottom