Kiuhalisia Mbowe kakosea sana kutoripoti Polisi

Mtuhumiwa mwenzake waliotwa kwenda kuhojiwa polisi mpaka sasa bado ana ozea lock up na hakuna taarifa zozote zilizotolewa kama aliweza kupatikana na kielelezo chochote.

Kutuhumiwa bila kuwepo na uthibitisho wowote,navyo ni vita na kila mtu ana mbinu zake za kuzitumia ili aweze kushinda,kama Gwajima alishinda kwa mbinu ile,hii nayo ni mbinu ya Mbowe anayo itumia katika mapambano.

Kinachoangaliwa kwenye mapambano na ili uweze kumfunga gori mpinzani wako ni kuangalia makosa ya mpinzani wako na kuyatumia makosa hayo kumfunga mpinzani wako.

Bila shaka Gwajima atakuwa alimsoma mpinzani wake akaziona dosari zake,dosari alizoziona ndizo zilizomuongoza kutumia mfumo alioutumia kumshinda mpinzani wake,kwa hiyo hata Mbowe katumia mfumo alioutumia baada ya kugundua makosa ya mpinzani wake,mfumo ambao ameuona kuwa ndio utakao kuwa rahisi kumshinda mpinzani wake.
 
Kati ya deals 10, deals 9 za Mbowe ni haramu na janja janja nyingiiii, Kajificha tu nyuma ya siasa na kundi la wafuasi vipofu kufanya yake, hicho unachokiona ni just a tip of an ice berg
3d48312c9c61544496d8d4f39d554f89.jpg
Mwisho wa Ubaya ni Aibu
 
Mi sidhani kama alikosea, Mbowe aliitisha press akawea clear kuwa hajihusishi na biashara ya madawa kwa namna yoyote ile, ila kama wanaona kuna sehemu anaweza kuwasaidia wangemuita kwa njia zinazotakiwa na sio kama makonda,

Mi nafikir kwanza alipaswa kwenda kumaliza hilo tatizo la kashfa kisha akiwa safi arud kupambana na njia walizotumia nafikir kila mmoja angejionea ukweli wa mambo.
 
radika: Kwa hiyo wewe ukiwa unapita barabarani au njiani ukasikia kichakani mtu anakuita 'wewe radika mwizi njoo huku ujibu tuhuma' utaenda? Ina maana kwa vile unajiamini kwamba wewe si mwizi utaenda ili kumthibitishia anayekuita kwamba wewe si mwizi? Hiyo ni akili au matope?
 
Mbowe nae ana ego mkuu, of kozi ni mtu mkubwa, so kuitwa na yeye kuitikia wito pengine ingekuwa ni kitendo cha kikondoo sana...Ila bado kuna watu wana suspect Mbowe anafanya biashara ya dawa?

Mtu ambaye yupo scrutinized na serikali hii kama Mbowe wangekuwa hata na ushahidi wa mbali kabisa wa kumhusisha na biashara hiyo Mbona kingenuka sana?

Mbunge anashikana na polisi anafungwa miezi 6 bila faini sembuse kiongozi wa upinzani kujihusisha na biashara haramu kama hiyo aachwe apete?
 
mkuu utaitwaje kichakani? mbona makonda alikuwa wazi unajua kuwa ile ilikuwa ni nafasi ya kuonesha madhaifu ya makonda endapo mbowe angetoka hana hatia? kwa sasa hadi muda huu haijulikani zilikuwa kiki sa makonda au mkubwa yumo kwenye hayo mambo
 
Mbowe nae ana ego mkuu, of kozi ni mtu mkubwa, so kuitwa na yeye kuitikia wito pengine ingekuwa ni kitendo cha kikondoo sana...Ila bado kuna watu wana suspect Mbowe anafanya biashara ya dawa?

Mtu ambaye yupo scrutinized na serikali hii kama Mbowe wangekuwa hata na ushahidi wa mbali kabisa wa kumhusisha na biashara hiyo Mbona kingenuka sana?

Mbunge anashikana na polisi anafungwa miezi 6 bila faini sembuse kiongozi wa upinzani kujihusisha na biashara haramu kama hiyo aachwe apete?
Kwa jinsi ninavyoliona hili jambo mkuu baadae litakuja kuleta shida siku wakimdaka mbowe kutakuwa na vikes viwili ccm hawanaga cha kufuat sheria jambo alilokwepa leo kujishusha kesho litachelewesha mambomengine ya kichama majamaa hayawez kumuacha lazima yatamdaka tu kumsumbua
 
Labda pengine, ila Makonda kumkabidhi yule Sianga wa tume ya kukabiliana na madawa ilikuwa ina imply kuwa kilichokuwa kikifanywa na Makonda mwanzo kilikuwa batili, sasa wakimkamata mtu kwa kukataa wito batili nitashangaa kwa kweli, ila inawezekana kwa serikali hii
Ila huwezi kusema Mbowe kakosea, watakaomkamata kwa hilo ndio watakuwa wamekosea..au?
 
Huyu Makonda madaraka yake mwisho daraja la mto Ruvu
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana lakini umeharibu hapa tu nilipo kunukuu. Madaraka yake hayafiki Kibaha maili moja yanafikaje daraja la mto Ruvu? Kule ni mkoa wa Pwani.
 
Radika mie nakushauri mama au baba yako angeenda Polisi badala ya Mh.mbowe

Jazba mbaya sana sidhani kama ulichoandika hapo kinaweza kubadilisha maana kuna muda jijengee tu kuwa na nidhamu ikiwa huwez kuheshimu wazaz wa mwenzio bas hata wakwako huwaheshimu unajifanya kuwaheshimu wakat huna nidhamu.

Usitegemee jambo unalolipenda wewe ndilo utalolikuta hapa ni forum huru labda umejiunga jf hujui maana ya uwepo wako hapa.
 
Mkuu umetoa maelezo mazuri sana lakini umeharibu hapa tu nilipo kunukuu. Madaraka yake hayafiki Kibaha maili moja yanafikaje daraja la mto Ruvu? Kule ni mkoa wa Pwani.
Asante kwa Masahihisho....Location blindness
 
Labda pengine, ila Makonda kumkabidhi yule Sianga wa tume ya kukabiliana na madawa ilikuwa ina imply kuwa kilichokuwa kikifanywa na Makonda mwanzo kilikuwa batili, sasa wakimkamata mtu kwa kukataa wito batili nitashangaa kwa kweli, ila inawezekana kwa serikali hii
Ila huwezi kusema Mbowe kakosea, watakaomkamata kwa hilo ndio watakuwa wamekosea..au?
Ni mbinu ya kwanza hiyo washafanikiwa watalilia hakutokea polis ndo mana nikasema kwa mm navyowajua ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dora ni kosa kubwa pia hata makonda atakuwa na jeur kwa mbowe mkuu.
 
Kwenye hili sakata la madawa ya kulevya kwa namna lilivyokuwa likiendeshwa na bwana Makonda ilikuwa ni nafasi nzur sana kwa yeye Mbowe kumuonesha Makonda hakuwa sahihi.

Hii ingetoa nafasi ya kujijengea imani kwa wapenzi wa UKAWA na CHADEMA ni kwa namna gani serikali inavyopambana na upinzani kuumaliza kwa kuwazushia mambo. Kitendo cha kutokwenda kinawaweka njia panda wapenzi wa CHADEMA kama anasingiziwa kiongozi wao au ni ukweli kulikuwa hakuna haja ya kutunishiana misuli baina yake na Makonda.

Mfano mzuri ni ndugu Gwajima kwa sasa anatembea kifua mbele na ataongea lolote bila hofu mana kapekuliwa kila kona na hajapatikana na hatia.

Kwanini akimbie ikiwa ni kiongozi mkubwa wa Kambi ya Upinzani? Hapa anatakiwa alimalize hili suala hata akisimama ktk majukwaa aongee bila kuacha viulizo kwa maana tayari atakuwa amewashinda na hili suala liende vizuri yafaa lisihusishwe na chama alikabili yeye mwenyewe.
Umekula maharage ya wapi ..
 
Hahaha!!! Kamanfa mbowe kaogopa bora ata lema .
 
Si haeshimu mawazo ya mbowe ..angeenda kufanya nin? Kwenye mahakama ya ngedere na fisi ..
Ukisema hivyo unakosea ndizo mahakama tulizonazo na kuna baadhi ya maeneo zimeamua vizur kesi za mapingamiz ya wabunge
 
Back
Top Bottom