GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,573
- 108,930
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.
Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.