Kiufundi kwa Yanga SC niionayo sasa Kiubora na Spirit ya Wachezaji wake ikibaki hivi hivi Al Ahly FC anakufa Dar na Cairo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,574
108,930
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.

Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
 
Yanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora

Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
 
Wafuasi wa Rage watakupopoa na mawe muda si mrefu, ukweli kwao ni haramu!!!
 
Yanga Hamna kitu mkuu! Wamisri sio wa kubezwa na Mpira wanaujua. Pia Simba ni Team Bora

Issue sio kukimbia ovyo uwanjani. Yanga ukishakamata wachezaji 3; hawapati Goli Hata moja
Kwa hiyo kukamata watu watu kwa pamoja unadhani ni rahisi?
 
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.

Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Haya ni mawazo yako so nayaheshimu sana. Lakini kwa upande wangu mimi ni kuwa Ahly fc ni timu kubwa sana Africa, ni moja kati ya timu ambazo huenda na approach tofauti kwenye kila mechi na timu anayocheza, wewe umemuangalia ahly akicheza na simba, hujamuangalia ahly akicheza na wydad na timu nyengine anakuaje. Yanga ki perfomance now iko vizuri lakini when it comes to ahly ni level mbili tofauti mzee kwenye kila kitu.. AT THE END what is matter ni mechi yenyewe ndani ya dakika 180. Lets wait and see
 
ANAANDIKA GENTA MIMAVIII USHIRIKINA WA TAMBI TAMBI.

"75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika (Nje ya Uwanja) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo (hasa Jumatatu) Kinujumu (Kinyota na Kitarehe) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo"

GENTAMIMAVIIIIII
 
Ukiuangalia Uchezaji wa Simba SC yangu na wa Watani zangu Yanga SC utaona tofauti Kubwa mno na ndiyo maana GENTAMYCINE leo sioni Aibu wala Siogopi kusema kuwa kwa Yanga SC hii ya sasa na nilivyowaona Al Ahly FC kwa Mechi zao Mbili hizi walizocheza na Simba SC nawaona Yanga SC wakikutana nao katika Mechi zao Mbili za CAFCL watashinda Mechi zote au watashinda Moja na kutoka Sare Moja jambo ambalo litawabeba kwa Alama ( Points ) katika Kundi lao Gumu ( la Kifo ) na hata Kusonga mbele.

Uzi wangu huu wa kusema Ukweli ukikukera au ukiuchukia nakuomba tu tafuta Sumu ya Panya popote ilipo Unywe ili Ufe kabisa na Kisununu / Kinyongo chako cha Kishamba na kutopenda kusikia Uwazi wa Kimchezo usioutaka na usioupenda pia.
Mchambuzi nguli
 
Back
Top Bottom