Kituo cha Mabasi Magufuli bei ya pango hadi Tsh. 1,200,000/= kwa siku

Acha uongo, mimi leo hii nimefika pale, na usiseme kabla hujafanya uchunguzi. Frem za ndani ni frem 2 tu zinafanya kazi tena pale jengo la utawala. Moja ni stationery na nyingine ni kinyozi mbele kabisa. Nyingine zote 198 hazijafanya kazi. Mama na baba ntilie ni wengi sana nje ya uzio wa kituo. Machinga ndio usiseme kwani ni wengi mno ndani na nje. Hizo hesabu zako ni za kufikirika.
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
uncle povu la nn? Ndo tumewaachia mapango yenu ya milion kwa mwezi.
Na sisi tumeua maduka yetu tumeweka bidhaa geto tumeajiri machinga wa vtambulisho vya elfu 20 kwa mwaka wanapga kaz kwa kamishen wkt si tupo ktaa tunacheck mambo mengne huku tukchart jf hapa.
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Kwaio kwa akili zako ni sahihi kulipa ml 36 pango kwa mwaka?!!wewe kwenye biashara yako unalipa pango bei gani?!! Au ndio hata biashara ujui maana yake ni nn zaidi ya kusoma biashara kwenye vitabu!!
 
hizo bei kichaa..

hata kituo kiwe na uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 100k na machinga wasiwepo ndani ya kituo bado kodi ya pango hailipiki

eneo LA kituo ni dogo kufanya mzunguko pia aina ya biashara zenyewe ni zile za huduma kwa jamii;yaani faida zake ni kiduchu

wanaojikongoja kufanya biashara hapo wanakufa na tai...au bado wako nusu kaputi
 
Dah! Wewe kama ni jinsia ya kiume nampa pole Mke wako kama unae,mwanaume gani unajua kuchamba kama kina Mwajuma Ndala ndefu.
 
Mbona kwanza imeandikwa kwa Kingereza
 
Sijawahi kuona kituo cha ovyo kama hiki cha magufuli.
 
Watu tuliofika ndani ya kituo na kushuhudia ni eneo tofauti sana na Ubungo hasa kwa ufinyu wa nafasi, huyo mwenye biashara ya maji, awe ni yeye peke yake asiwe na mpinzani LABDA ataweza.

Kodi yake ni kubwa kuliko kodi ya benki anakoenda kukopa! Hebu tuone!

Everyday is Saturday...............................
 
Investment ya 60B mnataka mlipe kodi ya laki na nusu kwa mwezi, unategemea huo mradi utarudisha lini hela?

Miaka michache ujayo wakishindwa kuendesha stend kwa uchafu na uchakavu bado mtarudi kuwasema wameshindwa, poor management sijui maneno gani
Kwani hilo jengo linaharibika ndani ya mwaka...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…