Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,522
- 5,571
Mkuu,Wapelekwe wapi?au wafukuzwe unamaanisha?Hii issue ya wamachinga ni issue ya kisiasa.Ushauri wangu ni Rahisi Tu.Badala ya vile vitambulisho vya hayati uwekwe mfumo maalum wa kuwatambua pamoja na maeneo waliyopo,Aina ya bidhaa etc ili kuhakikisha kwamba hawaharibu mpangilio wa mji.Hawa machinga mimi nashauri waondolewe hata katika ya miji mikubwa wao watafutiwe sehemu nyingine. Machinga wamekuwa kero kubwa