[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Haha ustaaz ubwabwaHahaha...
Wazee wa ubwabwa kama kawaida bajeti ya leo ya maakuli ilikua juu ya wafiwa.
Sijui itakuaje leo!!!
Mcpende kuwarushia tuhuma wanawake kwa kila jambo linaloonekana lina negative impact kwa jamii. Nao ni binadam na wanahisia na mapungufu yao. Mbona mama yako hakukuminya ww hadi umefikia hapo ulipo? So dada zako, mwanao wa kike ukija kupata, shangazi zako na huyo unayemshughulikia taahira asiye na akili nao n hvyohvyo!!!!du poleni sana mkuu bila shaka waliotoa taarifa ni wanawake maana akili za wanawake wanazijua wao tu.
Ohoooo!!!Kwa kweli tuwe makini hata mtaani kwetu hii ishu ulitokea waliokwenda kwa mgonjwa hawakumkuta pale kitandani wakarudi na vilio kumbe mgonjwa alikuwa ameenda kusafishwa kidonda
Ss mbona sikuelewi naona acha ujinga....kwani hiyo post uliyonidirect na hicho nilichoandika kina tofauti gani??? Mm nilikuwa namuelekeza huyo aliyewasema wanawake na kumwambia si kila chenye negative impact kwenye jamii kinafanywa na wanawake tu na km n hivyo bac anamaanisha wanawake wote hawana akili akiwemo mzazi wake aliyemlea hadi leo, mwanae wa kike, dada zake hata mkewe.Wewe acha kuleta habari za KIJINGA wewe....
Soma post namba 35.
Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa.
Ajabu asubuhi hii aliyeenda hospitali kukamilisha taratibu za huko kaleta taarifa kuwa mgonjwa alikuwa hajafa, ila alihamishwa kitanda! Hivi ndo kila mtu kabaki mdomo wazi. Ndo tunaondoa maturubai na kurudisha makochi ndani.
My take: Tuwe makini, kabla ya kusambaza taarifa mtu kafa, tucomfirm kabisa na daktari na ikibidi ushuhudie mwili kabisa. Usumbufu mkubwa watu wamepata na itaathiri sana maisha katika familia ya mgonjwa.
Mungu aendelee kumponya. Amen.
Usikute hapo huyo alowekewa msiba hata dawa hana watu wanadai hali ngumu lakini kwenye msiba wamemchangia huyo MarehemuRambi rambi iliisha fika ngapi labda itasaidia matibabu
Kabisa mkuu..Ukiuguza ndugu wa karibu hospital unachanganyikiwa..Piga picha asubuhi unaingia pale Muhimbili unapita Mwaisela unakuta vilio vimetamalaki...unachsnjs zako mbuga sewahaji unakuta mgonjwa hayupo kitandani!!!
Acheni tu..Mungu awape moyo wote wanaouguza..Pole kwa hyo familia.
Hivi taratibu mtu anapofariki hospitalini, anayetoa taarifa za mgonjwa kufariki si daktari jamani! Jitu from no where unapokuta mgonjwa kabadilishiwa wadi, kwako tayari kafa!Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa.
Ajabu asubuhi hii aliyeenda hospitali kukamilisha taratibu za huko kaleta taarifa kuwa mgonjwa alikuwa hajafa, ila alihamishwa kitanda! Hivi ndo kila mtu kabaki mdomo wazi. Ndo tunaondoa maturubai na kurudisha makochi ndani.
My take: Tuwe makini, kabla ya kusambaza taarifa mtu kafa, tucomfirm kabisa na daktari na ikibidi ushuhudie mwili kabisa. Usumbufu mkubwa watu wamepata na itaathiri sana maisha katika familia ya mgonjwa.
Mungu aendelee kumponya. Amen.