Kituko Makongo Juu, waweka msiba kumbe hajafariki

Mkuu kukutana na msiba ni bahati ee!
Maana unasema ulibahatika kukutana na msiba wa classmate wako!
Yes mkuu kupata nafasi ya kuhudhuria msiba wa mtu wako ni bahati pia mostly unapata taarifa kuwa alifariki na tumeshazika kitambo!
 
Ukweli utabaki kuwa Ukweli, unajua "You can't avoid Nature " hawa ni kweli Mama zetu na Dada zetu but hata Wakiwa na degree saba (7), watabaki kuwa wanawake tu, na mambo yao yanafanana tuu kwa Pamoja, Samahani lakini wakuu kama nitakuwa nimemkwaza Mtu kwa hili. ..Hata maandishi yanasema hawa watu tuishi nao kwa Akili....lakini bado hatuelewi...
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]watu wana stress jamani
 
Inatokea sana hii, nikiwa mkoani siku moja jamaa mfanyabiashara kazushiwa kafa kwa ajali (kweli aliondoka na gari iliyopata ajali na ikaua watu wote saba waliopanda, bt baadae alishuka akapanda nyingine akenda kijiji kingine kwenye mishe zake). Ile kusikia tu ndugu zake wakatia timu home na maandalizi ya 'msiba'. Wakaanza kumtenga 'mjane' na kumchimba mkwara kuwa hana chochote hakufunga ndoa na ndugu yao (binadamu wanyama jamani!) Basi wakanyang'anya ATM mali zikafungiwa, zinazohamishika zikatolewa nyumbani (huku 'matanga' yanaendelea na watu wanajiandaa kwenda mochwari). Mara Taxi ikaingia jamaa kashuka akaangua bonge la kilio akidhani mwanae kafa coz alimuacha anaumwa. Ndugu walipoteana!
 
du poleni sana mkuu bila shaka waliotoa taarifa ni wanawake maana akili za wanawake wanazijua wao tu.
Akili za wanawake wanazijua wao eee? Ila unapambana na maisha kumfurahisha huyuhuyu mwanamke ambae hata hujui akili zake..pole.
 
Inatokea sana hii, nikiwa mkoani siku moja jamaa mfanyabiashara kazushiwa kafa kwa ajali (kweli aliondoka na gari iliyopata ajali na ikaua watu wote saba waliopanda, bt baadae alishuka akapanda nyingine akenda kijiji kingine kwenye mishe zake). Ile kusikia tu ndugu zake wakatia timu home na maandalizi ya 'msiba'. Wakaanza kumtenga 'mjane' na kumchimba mkwara kuwa hana chochote hakufunga ndoa na ndugu yao (binadamu wanyama jamani!) Basi wakanyang'anya ATM mali zikafungiwa, zinazohamishika zikatolewa nyumbani (huku 'matanga' yanaendelea na watu wanajiandaa kwenda mochwari). Mara Taxi ikaingia jamaa kashuka akaangua bonge la kilio akidhani mwanae kafa coz alimuacha anaumwa. Ndugu walipoteana!
mzee tupe muendelezo
 
Imebidi nicheke. Watu wanapenda "free fall" sana, yaani wanapenda vya bure sijui kwa nini. Yani nife halafu ndugu zangu wagombanie mali za familia yangu? Hakyanani nitafufuka tu!!
 
Huu ni uhuni,sasa hizo rambirambi zake mumpe akitoka wodini !!!
 
Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa.

Ajabu asubuhi hii aliyeenda hospitali kukamilisha taratibu za huko kaleta taarifa kuwa mgonjwa alikuwa hajafa, ila alihamishwa kitanda! Hivi ndo kila mtu kabaki mdomo wazi. Ndo tunaondoa maturubai na kurudisha makochi ndani.

My take: Tuwe makini, kabla ya kusambaza taarifa mtu kafa, tucomfirm kabisa na daktari na ikibidi ushuhudie mwili kabisa. Usumbufu mkubwa watu wamepata na itaathiri sana maisha katika familia ya mgonjwa.

Mungu aendelee kumponya. Amen.
Hizo rambirambi mzirudishe kwa wenyewe
 
lakini ni vizuri sababu angeomba mchango msinge toa hamuoni mgonjwa atapata matibabu kwa michango yenu
 
Kufiwa kusikie tu aisee.

Kuna wakati unatamani hata iwe kama hili tukio lilivyo lakinu wapi, mtu anakuwa kaenda kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom