Kituko Makongo Juu, waweka msiba kumbe hajafariki

Najua kwa vile uanaakili kama zao umefurahi kwa jambo ambalo wamelifanya, ogopa sana kuwekewa msiba ungali u hai.
Yawezekana labda uliokotwa, yaani huna mama unayemjua, huwezi kuwadharau wanawake kwa kiasi hichi. Ni lazima tuwaheshimu mama zetu, because I believe kuna wanawake wengi including mama mzazi wana uwezo mkubwa sana zaidi yako na wanaume wa aina yako. Kila binadamu anaweza kufanya makosa, maana huo ndio ubinadamu bila kujali jinsi ya mtu!
 
...ningekuwa karibu na daftari la rambirambi nasepa nalo bar kwa hasira!
 
Yawezekana labda uliokotwa, yaani huna mama unayemjua, huwezi kuwadharau wanawake kwa kiasi hichi. Ni lazima tuwaheshimu mama zetu, because I believe kuna wanawake wengi including mama mzazi wana uwezo mkubwa sana zaidi yako na wanaume wa aina yako. Kila binadamu anaweza kufanya makosa, maana huo ndio ubinadamu bila kujali jinsi ya mtu!
Sawa mkuu nimekupata vyema.
 
Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa.

Ajabu asubuhi hii aliyeenda hospitali kukamilisha taratibu za huko kaleta taarifa kuwa mgonjwa alikuwa hajafa, ila alihamishwa kitanda! Hivi ndo kila mtu kabaki mdomo wazi. Ndo tunaondoa maturubai na kurudisha makochi ndani.

My take: Tuwe makini, kabla ya kusambaza taarifa mtu kafa, tucomfirm kabisa na daktari na ikibidi ushuhudie mwili kabisa. Usumbufu mkubwa watu wamepata na itaathiri sana maisha katika familia ya mgonjwa.

Mungu aendelee kumponya. Amen.
Huyo hafi tena! Waliokuwa wameanza kufikiria mirathi sijui wakoje saa hii
 
Inabidi huyo mgonjwa afanye mpango tuu afe hamna namna!!
 
Mnaosema wanawake ndiyo wakurupukaji fikirieni mara mbili kabla ya kusema hivyo.
Hiyo ni generalization ambayo haina mantinki, wapo wanawake wakurupuka sikatai ila kuna wanaume wengi tu wakurupukaji angalia habari za kila siku utathibitisha hilo. Kadhalika kuna wanawake wako composed na watulivu.
 
Details zilizopatikana hivi punde ni kwamba mke wa mgonjwa na mke wa jirani walipoenda jana asubuhi hospitali walikuta kitanda alichokuwa kalala mgonjwa kimezungushiwa curtains (sijui yanaitwa hivyo ). Wakaulinza wagonjwa wa karibu wakajibu aliyekuwa kitanda hicho alikufa usiku. Basi wakaanza vilio, hao mbio nyumbani bila kuwasiliana na uongozi wa hospitali . Kumbe usiku usiku mgonjwa wao alihamishiwa kitanda kingine. Pale alipokuwa akalazwa mgonjwa mwingine ambaye baadae usiku alifariki , hence the curtains and the response of other wagonjwa in the ward!!!
Umeona sasa!
 
Mleta taarifa alikuwa anapenda mgonjwa afe maana alipomkosa akajua tayari
 
Jambo la ajabu limetendeka Makongo juu, mgonjwa kapelekwa hospitali Mwananyamala juzi akalazwa. Walioenda kumjulia hali jana asubuhi wakarudi wanalia kwamba mtu wetu kafariki. Taarifa zikasambaa ukawekwa msiba, maturubai, watu kibao tumelala msibani. Rambirambi zimechangwa.

Ajabu asubuhi hii aliyeenda hospitali kukamilisha taratibu za huko kaleta taarifa kuwa mgonjwa alikuwa hajafa, ila alihamishwa kitanda! Hivi ndo kila mtu kabaki mdomo wazi. Ndo tunaondoa maturubai na kurudisha makochi ndani.

My take: Tuwe makini, kabla ya kusambaza taarifa mtu kafa, tucomfirm kabisa na daktari na ikibidi ushuhudie mwili kabisa. Usumbufu mkubwa watu wamepata na itaathiri sana maisha katika familia ya mgonjwa.

Mungu aendelee kumponya. Amen.
Vipi rambirambi zenu mlizochanga mlirudishiwa?
 
Details zilizopatikana hivi punde ni kwamba mke wa mgonjwa na mke wa jirani walipoenda jana asubuhi hospitali walikuta kitanda alichokuwa kalala mgonjwa kimezungushiwa curtains (sijui yanaitwa hivyo ). Wakaulinza wagonjwa wa karibu wakajibu aliyekuwa kitanda hicho alikufa usiku. Basi wakaanza vilio, hao mbio nyumbani bila kuwasiliana na uongozi wa hospitali . Kumbe usiku usiku mgonjwa wao alihamishiwa kitanda kingine. Pale alipokuwa akalazwa mgonjwa mwingine ambaye baadae usiku alifariki , hence the curtains and the response of other wagonjwa in the ward!!!
Duh, huyo mgonjwa sijui atakuwa kapona maaana matukio ya vifo wodini huwa kama mchezo wa kuigiza.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom