Loyalist
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 411
- 884
Mchagga hana nafasi kanda ya ziwa ni wachuuzi tu wachache na shoe shiners. Biashara za meli, mahotel, madini na uvuvi ambazo ni uti wa mgongo wa Jiji la Mwanza ni za wenyeji wa kanda hii akina Kitano, Kishimba na wengineo. Kwa mfano Tai five hotel pale kona ya Bwiru ambayo ilikuwa ya mchagga tayari imeisha nunuliwa na msukuma kupitia benki baada ya mchagga kufilisika. Kote huko Geita na Kahama hakuna mchagga mwenye biashara ya maana ni wazawa tu akina Bugomola, Mongo na wenzao wa Kanda ya Ziwa ndio wenye hela. Wadanganye wasioishi kanda hii.
We kweli punguani tena unajitoa akili mapema sana, nenda kule mabatini kaangalie ni wakina nani wanamiliki makampuni ya usafirishaji na magereji yote Yale, mabatini nzima imetekwa na wachagga usijifanye hujui dogo.
Nenda buhongwa, ukaone wachagga walivyokamata kule, kule kona ya bwiru maghorofani ndio usiseme, sijakutajia maeneo mengine , nimekaa sana mwanza tena sana unidanganyi kitu, wasukuma mmebaki kuwa makuli tu, nenda mpaka geita, kule katoro kaangalie biashara imetawaliwa na kina nani maana katoro ilistawishwa sana na madini kuliko hata geita au chato, wafanyabiashara wengi walioistawisha katoro walikuwa wachagga, nenda kaangalie waliokuwa maengineers pale GGM na Buzwagi walitoka wapi, wote walikuwa wachagga tena walitokea machame kisiki, usitake nikutajie hadi majina yao, wasukuma mmebaki kuokoteza yale makinikia yanayobaki baada ya madini kuchechuliwa, mnavamia makapi ya udongo mpaka mnafukuzwa kwa risasi na walinzi wa migodi sijui kama mmesahau hili.
Naona pia umeshasahau jinsi mlivyobaki masikini mpaka mkaanza kula mapanki ya samaki baada ya minofu yote kupelekwa ulaya, biashara iliyobaki kwenu ilikuwa kula mapanki na ukahaba tu huku madini yakipelekwa ulaya ahahaaaa. Nenda kaangalie film ya "nightmare!" iliyorekodiwa hapo mwanza na yule mfaransa!