Tlg
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 804
- 608
Comment yako inaonesha kuwa ninyi ni bora kuliko makabila mengine otherwise kwanini uhisi mnaonewa wivu.Wapumbavu sana, wanadhani kumchukia aliyefanikiwa watalingana nao, kumbe kufanikiwa ni juhudi za jamii Fulani huwezi kufanikiwa kwa kujenga chuki na visasi,
Chuki umuumiza aliyeiweka kifuani!
Huoni hio kauli yako ndo INA ukabila kihalisia. unahisi kila aliyecomment tofauti Na wewe anawaonea wivu Na ni mpumbavu.
U really need professional help.