Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

nizakale

JF-Expert Member
Oct 23, 2019
1,901
2,000
Wachaga walikuwepo kwenye système tangu enzi za mkoloni
Soma Historia hata baraza la mawazir la Kwanza kabisa lilisheheni wachaga wengi tu kina nsilo swai,kina Edwin mtei ,kina muhidini kimario nk
Wachaga wamesoma tangu enz na enz
Nani kakuambia kwamba Edwin Mtei na Muhidini Kimaro walikuwemo kwenye Baraza la kwanza la Mawaziri la Tanganyika huru. Kweli wewe ni mtoto wa juzi. Nsilo Swai sawa lakini si hao uliowataja hawa walikuja baadaye sana
 

seanherms

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
500
500
Well said,

Wengi hawajui historia wanapuyanga tu, kuna watu wanaroho mbaya sana zimejaa kutu ya chuki za kikabila, hivi mzungu au mwarabu au muhindi akija kuomba ardhi akapewa ni sawa, warundi zaidi ya laki moja waliopewa uraia na kikwete walipopewa ardhi ilikuwa sawa, lakini watanzania wenzako wa nchi hiyo hiyo wachagga wakiomba ardhi ni nongwa kubwa sana watu watapayuka mpaka mishipa ya shingo itawatoka!

Tuache chuki za kikabila na wivu usio na msingi, na we we omba ardhi kama unaitaka kwani ni dhambi?! Threads kama hizi za kipuuzi sijui kwani ni mods wanaziacha!
Kwani mzee kuna sehemu wachaga wamenyimwa kuishi mbona hueleweki?si taratibu za ardhi zinajulikana tu kwa mtanzania yyte anaweza kwenda popote au wanataka wapewe eneo waishi wao tu kama kabila lao?mbona wamejaa kimara kwani walipapataje?hao watu wote waliopo dar walihamiaje?

Wewe hakuna ndugu zako waliohamia mikoa mingine??whats so special about them?kuna mahali watanzania hawaruhusiwi kubamia?

Halafu sielewi logic yako kusema watu hawajui historia eti mwaka flani walihamishwa so what??lazima tuige huo mwaka??sheria ya ardhi iko wazi mtanzania anaenda popote asivunje sheria tu sasa hio attention wanayoitaka wao inasababishwa na nini??mbona wakazi wa dar hawaombi maeneo wanaenda tu mikoani wananunua na sehem zingine wanafyeka tu??

Halafu unaulizia kuhusu wageni kupewa ardhi hivi hata unachokiandika unakisoma kabla ya kupost??wageni wanapewa kwa kua sheria haiwalindi kama watanzania hawana ruhusa ya kumiliki ardhi so kupewa kwao ni kwa mkataba wa kuiendeleza tu na haitokua iwe yao na wale waburundi ni kwa kua wakimbizi walipewa uraia la sivyo wasingeweza kumiliki ardhi kama mtanzania so kwa kua wapo kwenye VITA kwao na wamekaa aana bongo huoni kama ni upuuzi kulinganisha na mchaga ambae tyar anaweza kumiliki ardhi popotebila shida??
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,526
2,000
Wanaozaliana hovyo huwajui? Lake zone ndio inazaliana kwa 100% kule average minimum ya family members Ni watoto 10
Sasa mbona mbunge wa Vunjo anasema aardhi imekwisha, je sio kwa sababu ya kuzaliana? Pia, kama kanda ya ziwa wanazaliana sana, mbona ardhi haishi? Hapa ni suala la kurekebisha mila na tamaduni.
 

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
10,526
2,000
Wachaga walishangamana kitambo kabla hata ya Uhuru Tena walikuwa na exposure internationally
Kuhusu Kilimanjaro kuwa Kama Paris Hilo halipingiki, Kilimanjaro Ni mkoa wa kwanza tz kwa makaz bora vijijin,Hakuna mkoa wowote tz utakuta makaz ya kisasa kuzid Kilimanjaro
Pia kwa miundombinu Hakuna mpinzani lami zipo hadi vichochoroni,shule ndio mkoa unaoongoza kwa shule nyingi tz, huduma kama umeme kule upo tangu 1970's sasa kwann isiwe Paris?
Infact ripoti ya serikali inatuambia Kilimanjaro Ni mkoa wa pili tz kwa watu wake kuishi maisha Bora kwa 90%,ukiona hivyo ndio chuki inakujaa,huwez kufanikiwa kwa kumchukia aliyakuzid,nyie mmekalia Imani za kijinga za kuua vikongwe wenye macho mekundu hii inasabanishwa na ufinyu wa elimu
Karibu KILIMANJARO ujionee mandhari swaafi hatuna vijumba vya tembe,wala hatutumii punda kama usafir kama kule kwenu malampaka View attachment 1703100 View attachment 1703101 View attachment 1703102
Hii picha ya pili, hiyo ninayoiona ni aina gani ya lami, kama lami ipo mpaka barabara za vichochoroni? Hii ndio namna ya kufikiri 'kichagga.'
 

draga

Member
Jul 19, 2020
57
125
Mkuu sina maana ya kuwaonea wivu jamaa yangu

Hoja yangu imejikita hapo kwenye ardhi, kwamba why ni rahisi mchaga kupata ardhi Morogoro au Mwanza ila ni vigumu Mluguru kupata ardhi Moshi,

Ila mkuu nimependa lugha unayotumia si ya matusi sana kama wenzako

Tuishie hapa sisi ni Watz, hili halitabadilika.
Sio hvyo tu Ni ngumu mmarangu kupata ardhi rombo au mrombo kupata eneo machame na nk
 

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Dec 3, 2007
2,090
2,000
wewe kweli wa jana. kwa taarifa wachaga waliwahi kuhamishiwa handeni, mpanda, kilosa nk. wakati wa awamu ya kwanza ili kuondoa msongamano. Haijaleta ubaguzi wowote na wamechanganyikana na wenyeji wao. Watu wa sasa ndio wabaguzi. NENDA HUKO UKACHUNGUZE
Hoja ya mleta uzi ni je ni lazima kuomba bungeni? au unaposema waliwahi kuhamishiwa Handeni, Mpanda Kilosa nk, ni utaratibu gani uliotumika? Kama waliomba serikalini na wakahamishwa then ni sahihi kwa utaratibu huo kutumika hata sasa. Lakini pia itakuja hoja nyingine, je kama huo ndio utaratibu je hao waliohamia sehemu nyingine bila kufuata utaratibu huo, walivunja sheria?
 

masaduku

JF-Expert Member
Feb 6, 2016
694
500
Hoja ya mleta uzi ni je ni lazima kuomba bungeni? au unaposema waliwahi kuhamishiwa Handeni, Mpanda Kilosa nk, ni utaratibu gani uliotumika? Kama waliomba serikalini na wakahamishwa then ni sahihi kwa utaratibu huo kutumika hata sasa. Lakini pia itakuja hoja nyingine, je kama huo ndio utaratibu je hao waliohamia sehemu nyingine bila kufuata utaratibu huo, walivunja sheria?
Hawajavunja sheria kama mamlaka husika ziliridhia. Sio rahisi sana kwa mtu mathalani yuko kilimanjaro akaelewa maeneo yalyo wazi kama vile huko mpanda. Pia ukumbuke ni watu wengi wenye shida ya ardhi na kuhitaji nguvu zaidi ya serikali kupata eneo la kutosha.
 

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,933
2,000
Unanizidi nini wewe paka shoe shine wa kwa Sadala. Pumbavu kabisa.
Mpaka shoe shine wa sadala Ana uhakika wa kuingiza 30000 kwa Siku Sawa n'a laki 9 kwa mwezi ukienda kwake unakuta nyumba nzuri na mifugo kama kuku ,mbuzi Bata Pia unakuta anasomesha mtoto wake private na Ana usafir angalau wa pikipik, Kilimanjaro vijijin mzunguko wa hela ni mkubwa sio kama kule kwenu nyan'gwale mtu kupata héla ni Mara moja kwa mwaka anapouza vi mpunga
 

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,933
2,000
Alafu ulivyo mpumbavu eti unathubutu kabisa kujikakamua na kusema hatuwataki ahahaaa!

Wakati juzi tu hapa mfalme wenu JIWE, kalipa shamba la miti huko Geita jina la "mchagga" msomi Professor Dos Santos Silayo! Wachagga hawakwepeki ni kama maji, usipoyanywa utayaoga, kufulia nguo au kuoshea vyombo!

Ni hivyo tu yaani, tuliza mtori nyama zipo chini.
@nizakale umesikia?
 

Karne

JF-Expert Member
Jun 13, 2016
4,854
2,000
Wachaga hawahawa wanaojinadi kuwa magwiji wa kutafuta pesa ndiyo wamegeuka ombaomba.

Si Wana hela? Watafute maeneo kwingineko wanunue kama wanavyofanya makabila mengine.

Nyerere alishakufa na ujamaa wake kwa sasa tuko kwenye "ubeberu" kwahiyo hizo habari za Nyerere this Nyerere that ni yesterday news.
 

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,933
2,000
Wachaga hawahawa wanaojinadi kuwa magwiji wa kutafuta pesa ndiyo wamegeuka ombaomba.

Si Wana hela? Watafute maeneo kwingineko wanunue kama wanavyofanya makabila mengine.

Nyerere alishakufa na ujamaa wake kwa sasa tuko kwenye "ubeberu" kwahiyo hizo habari za Nyerere this Nyerere that ni yesterday news.
Hujaelewa mantiki wewe,Kwan Kuna sehemu yoyote tz ambayo haina mchaga? Wachaga Ni WAHINDI wa kitanzania wame.invest ma miradi makubwa maeneo mengi tu tz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom