Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,515
- 4,230
Naunga hoja mkono. Wachagga sio Wakenya au Warundi ni Watanzania 100%. Kwani wengine wanaishije?
Hawakuomba, walihamishwa kwa nguvu na Nyerere na wengi walikataa.Kama waliwahi kuomba na kuhamishwa katavi, morogoro na Tanga.
Hawakuomba, walihamishwa kwa nguvu na Nyerere na wengi walikataa
Dunia imebadilika sanaKama waliwahi kuomba na kuhamishwa katavi, morogoro na Tanga,
Kwani Leo wakiomba kupewa maeneo kuna ubaya gani?!
Someni historia msikurupuke kupayuka payuka tu, acheni kupuyanga!
Acha kuleta ulongo hapa, hujui unachosemaRukwa
Early 70s, Nyerere alihamisha wachaga na kuwapa makazi mapya: Lushoto, Kilombero, Turiani, na Mpanda (mwese); wengi wao walikataa offer hiyo, waliokubali leo wanajiona wafalme.Nyerere aliona mbali, wakati huo, kahawa ilikuwa chanzo kikuu cha Taifa kupata Forex, alihofia wakiendelea kujazana mlimani watapunguza productivity ya kahawa
Acha kuleta ulongo hapa, hujui unachosema
Angalia mwendo wa CRDB kwa sasa halafu linganisha,, huyu mtu ni genius tutabisha kwa mujibu wa hulka zetu watanzania lakini kiu kweli ANGESTAHILI KUWA HATA MSHAURI WA RAIS WA MASUALA YA KIUCHUMI PHAMACY NI FANI UALIMU NI FANI BASI PIA UCHUMI NI FANI ni kweli crdb ilijaa wachaga kama vile bima, bandari nk.Moshi ardhi ni tatizo kubwa, kuna kipindi Nicodemus Banduka akiwa mkuu wa mkoa wa pwani alienda kugombea nafasi ya ubunge kwao moja ya kampeni yake ilikuwa ni kuwatafutia wachaga ardhi pwani.
Kimei kama angepewa uwaziri angefanya kama aalivyofanya CRDB kujaza wachaga, mapovu ruksa.
Nilichogundua hapa tatizo ni uchagga, kuna wale watanzania wengine walihamishiwa eneo la mwabepande enzi za JK sikuona mapovu yakiwatoka watuWell said,
Wengi hawajui historia wanapuyanga tu, kuna watu wanaroho mbaya sana zimejaa kutu ya chuki za kikabila, hivi mzungu au mwarabu au muhindi akija kuomba ardhi akapewa ni sawa, warundi zaidi ya laki moja waliopewa uraia na kikwete walipopewa ardhi ilikuwa sawa, lakini watanzania wenzako wa nchi hiyo hiyo wachagga wakiomba ardhi ni nongwa kubwa sana watu watapayuka mpaka mishipa ya shingo itawatoka!...
Kwa lipiWanajionaga wao ni first class citizens.
Ila jiwe kawaweza
Nilichogundua hapa tatizo ni uchagga, kuna wale watanzania wengine walihamishiwa eneo la mwabepande enzi za JK sikuona mapovu yakiwatoka watu
Miaka ya 70 mwalimu Nyerere alitaka Wachaga wahamie kwingineko ili wasiharibu Mlima Kilimanjaro Kwa kutafuta makazi. Hii ilipelekea wapewe ardhi Morogoro na kwingineko.Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba waziri wa ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si mpunguze kuzaana...
Umenena mkuu sioni shida ukizingatia ni ukweli hawa watu hawana ardhi ya kulima na kusema kila familia idiriki kununua kipande chake popote ni ngumu kwa sababu wengine hawana fedha hao mnaowaona mijini na tusenti twao ni 2 katika 100 wengi ni watu wa kawaida wa hali ya chini kabisa na pia ni wakulima wazuri sana hivyo suala hili lisilete nongwa wengi wameshindwa kumtafsiri KIMEI kutokana na poor IQKabisa mkuu,
Watu wamejaa sumu ya ukabila, wamepofushwa macho na wivu na ukabila kiasi cha kushindwa kuona kubwa hao ni watanzania wenzao na wanahaki ya kuomba kuishi popote na sio Mara ya kwanza kufanya hivi...
Shida ni nini?Kama waliwahi kuomba na kuhamishwa katavi, morogoro na Tanga,
Kwani Leo wakiomba kupewa maeneo kuna ubaya gani?!
Someni historia msikurupuke kupayuka payuka tu, acheni kupuyanga!
km imekuuma jichome ujinuseWanajionaga wao ni first class citizens.
Ila jiwe kawaweza
Shida ni nini?
Nauli?
Kama ni maeneo yapo mengi kila sehemu wanaweza kwenda
Tatizo lako hakuna unachojua unakimbilia kupiga kelele tuKwani kuna sehemu wamenyimwa?
Swali langu hujajibu.Tatizo lako hakuna unachojua unakimbilia kupiga kelele tu
Mosi: huko vunjo ukienda sasa hivi ni sawa na hakuna mtu anaeishi kule , zaid ya 85% wa wakazi wa kule wametapaa maeneo mbali mbali nchi.
Pili: huwa wanakutana December tu kule , ardhi wamesha imaliza ile yote, lakini pia hata hiyo ndogo waliyo nayo haina rutuba tena
Wanachotaka wao ni kuhama kama jamii , waendeleze utamaduni wao na kuutunza , saiv vitukuu na wajukuu hawawez jenga tena kule ,
Punguza wivu.