Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

1418410788351.jpg
Be the first to reply
umejishindia
 
Mnunulie hizo shanga avae!

Mfundishe jinsi ya kufanya!

Mfundishe kupiga kelele unazo zipenda!

Mwambie aanze kuvaa khanga moja!

Mwambie mkiwa wote asilale bali akurukie!
 
Na usiku huu aibu naona mimi....!!
 
Kweli kwenye kelele hapo. zinaudhi anapiga kelele mwanzo mwisho avacheni uongo. midadi gani hata kidole unakililia
 
I just try to imagine jinsi mtu anavyodakwa kabla hajavua viatu!

BTW kilio toka gizani tushaanza kukisikia that means .....................
 
Na usiku huu aibu naona mimi....!!


ha hahhahah, giza hili aibu ya nini.....kuwa mvumilivu. Shanga 76 si mchezo, hata zile wanazouza wamasai 'mama nibebe' hazifiki nyuzi 76 :confused2:
 
Nimeshasikia YALAAAA nyingi. Maana hili jiwe gizani si mchezo japo naona wengine wanasoma kimyakimya
 
Kiukweli ndo maana ndoa za dotcom hazidumu. Yani mwenzio akiwa na fault kidogo tu unachepuka? did you take time to explain and tolerate?
Mtaachana sana tu, kwa sababu kwa bahati mbaya (au nzuri?) No body is perfect. We mseme tu hapa ila ukichukua muda kujua na yeye anakusemaje kwa mashosti zake utakimbia mwenyewe!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom