Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

:drama::drama:teh teh umetuwezaaaaaa pyuuuuuuuuu....... bc tutabadilikaaaa ilaaa moyoni imechomaaaaaa taaaaaaaaaaaaaaaaa
 
uchaguzi eti umeahirishwa.. ! kwani ni lini! nauliza uchaguzi wa uongozi wa clab yetu ya mtaa wa Kawe mzimuni..
 
Nisichoelewa ni kwa nini usimpe usajili wa kudumu huyo wa mguu kwenye feni ukamuacha huyo mbetua sidiria?
Kwa nini uruhusu udhaifu wake ambao umeshindwa kuuvumilia kabisa ukufanye uwe cheater?
Muache,atapata naye atakaye overlook hayo mapungufu uliyoyaona wewe akampokea kwa mazuri aliyonayo maana "mbaya halisi na wema hakosi"
 
nikweli mkuu, wanakera sana hadi mtu unaamua kua namichepuko. mwingine kimoja hataki tena mara siku unataka anakataa. au kuna wanawake wenye upungufu wa nguvu za kike nini?
 
Habari za siku wadau.

Leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bana.

Mademu wengine wana lawama sana.

Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele, atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki, Utamaliza Nyama bucha Ileile, kwani mi sikupi papuchi si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka, Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA.

Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju.

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka, mpaka majirani wanakereka.

Kazi yote ufanye wewe Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, Unafinywa Si kufinywa, Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda.

Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni, Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Pole.

Teh teh teh mapenzi haya

Halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale.

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo, Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

Shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

Ikikuuma iache ila ujumbe umefika.
Daaah hii kali
 
Kiukweli ndo maana ndoa za dotcom hazidumu. Yani mwenzio akiwa na fault kidogo tu unachepuka? did you take time to explain and tolerate?
Mtaachana sana tu, kwa sababu kwa bahati mbaya (au nzuri?) No body is perfect. We mseme tu hapa ila ukichukua muda kujua na yeye anakusemaje kwa mashosti zake utakimbia mwenyewe!

Hata wakiambiwa hawaelewi. Mtu ulimuacha mpk baada ya ndoa,ndani unakuta viwango duni. Ukieleza kwa wema unaambiwa mim ndio niko hivi jaribu kunipenda hivyo hivyo! Nyambafu kbs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom