Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

Have 10,000 more likes mkuu. U said it all!
Kweli kizazi chetu ndoa tumeelekeza kwenye mapenzi lakini si kutengeneza familia yenye msimamo na msingi mzuri wa maadili na jamii kwa ujumla, wanawake wanalalamika ooh mara mpenzi wangu anakibamia haniridhishi kabisa haya wanaume nao wanakuja na hayo, hivi kwani kwenye ndoa tunaingia kwenye mashindano ya nani anajua kufanya sex na kwa utalaamu gani? wanawake mnaowaita magogo ndo wanaoolewa na kudumu kwenye ndoa zao, wanaojiona kuwa ni wataalamu wa mambo ndo hao wanachezewa na kuzalishwa ndo maana mtoa maada amewaita mchepuko, tukienda kwa mtazamo huu jamii tunayoijenga itakuwa ya ajabu sana miaka ya baadaye
 
Habari za siku wadau.

Leo nimeona niwape live hawa mademu wa dotcom bana.

Mademu wengine wana lawama sana.

Wakisikia Boyfriend wake AMECHEAT atapiga kelele, atamsuta

"Umekosa nini Mwanaume huridhiki, Utamaliza Nyama bucha Ileile, kwani mi sikupi papuchi si nakuuliza wewe Hasidi Fisadi namba 1 wa Mapenzi usiyetosheka, Kwani Haikutoshi hii?"

Anatokwa Povu wakati In Reality HAKUNA ANACHOFANYAGA.

Anachojua ni Kubetua ile LOKI ya Sidiria na Kujilaza Chanuu kusubiria Mkwaju.

Baada ya hapo anachojua ni makelele tu kama gari ya takataka, mpaka majirani wanakereka.

Kazi yote ufanye wewe Sasa kuna wanawake huko nje wakikudaka lazima upagawe maana Ukifika mlangoni unadakwa kabla hata hujavua viatu, Unafinywa Si kufinywa, Unameng'enywa na mchanganyiko wa Meno na Kucha unabaki unaweweseka kama Kondoo aliyesahau Mlango wa Banda.

Khanga ikianguka Mtoto ana Shanga kama 76 za rangi tofauti anakubidua,Mguu mmoja dirishani mwingine kwenye Feni, Ukija kutua unasindikizwa na Busu la Sikio unaambiwa Pole.

Teh teh teh mapenzi haya

Halafu unapewa Juisi ya Embe huku unakunwakunwa Ulale.

Sasa wewe unabetua Sidiria unatulia kama Ndama mwenye Mdondo, Akimaliza unamwambia "SOGEA HUKO TULALE UNANIBANA"

Shame on u... huyo mwanaume
Asipochepuka labda ni Mhashamu Askofu Mwandamizi wa Kigango cha Mavurunza.

Ikikuuma iache ila ujumbe umefika.

Kwenye redi umeniacha hoi kabisa.
Mh! sasa kiongozi chanjo ya mdondo wa ndama imepatikana?
 
mbona kama ugomvi??? si uwaambie wafanye unavotaka??? heee!!! haya mambo ni kufundishana banah fanya hivi fanya vile n.k
 
Ukute sasa wa kupiga kelele kwa script utachoka.... ough bebiii.... oouughh do it..... ouuugh whattttt...??? Hayo matamsha mwanzo mwisho toka mnaanza mpaka mnamaliza....

mnawafundisha au kuwaelekeza lakini??????? au ndio mnaishia kuyoyoma tu hapa?? naona mmeamua kuexchange roles saiv nyie mmekua hao ke wa dotcom full kuyoyoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom